Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona eeh? Bonge moja la movie limetulia,waga naitafuta sana but bila mafanikio.Hiyo Movie ni safi sana
1 & 2 tupo pamojaNimeanza kutazama movie za Bollywood zamani kidogo Ila filamu bora za muda wote kwangu ni like stars on Earth,bajrangi bhaijaan,drshyam,na veer zaara.Zipi ni filamu zako bora za muda wote?View attachment 1119623View attachment 1119624View attachment 1119625View attachment 1119626
Unatazama Sana muvi za kusini ya India! Hizo Ni mbovu hata stori zake br.Yani kuliko kiangalia filamu za india ni bora utazame za kibongo najua mnajua sababu.
wahindi wanaunda filamu kila saa ila filamu zao sasa mtu anapigwa ngumi kwa tumbo anaangukia bima
Koyla, andha kanon, pamoja huko kote wanyama wamefanya kazi nzuriLOHA,Sholay,Koyla,Mohra,Karan&Arjun,Ghulam,Adha kanoon,
Kwanini hutazami Tena br.Hizo ndio zenyewe yaani zilikuwa Tamu sana hasa mard tangewala na ganga jamuna saraswati Ongeza hizi:- Kaalia, Mr. India,LOHA na Disco dancer.
Siku hizi siangalii kabisa movie za Hao jamaa.
Nimehamia Samguk Sagi & Samguk Yusa ila nako siku hizi majukumu yamebana muda haupo.Kwanini hutazami Tena br.
Nimeitazama hiyo si ya jamaa mmoja anapiga sana mkono alifanyiwa figisu asirithi kiti cha ufalme akarithi mwana wa mama wa kambo baadae akarudi akaamsha popo vibaya sana au unayoizungumzia ni nyingine?Unatazama Sana muvi za kusini ya India! Hizo Ni mbovu hata stori zake br.
Hebu Leo tafuta ama unaijua kitu wanaita BHAHU BALI.
NI fire humo hamna hizo makitu unasema..
Sema nn sometime hata Mimi movie zenye action feki Kama vile ngumi moja mtu anapaa kimo Cha mnazi sipendi asee man
Kaante movie nzuri sana.Duh Safi Sana..Kuna movie wanaita ""vaada"" Ni Moto wa kuotea mbali. Humo yanatokea mauaji ambayo mtizamaji unashindwa kujua nani muuaji labda Ni huyu labda Ni huyu. Asee Ni hatari.ukipata chansi itafute.
Nyingine Ni ile iitwayo KANTEE ya amitabachan, sunilsheti, Akshay Kumar, pamoja sanjey duty. Wanaiba bank wanashindwa kugawana kwa usawa kinachotokeA wote wanauana.
Hizo ndio zenyewe yaani zilikuwa Tamu sana hasa mard tangewala na ganga jamuna saraswati Ongeza hizi:- Kaalia, Mr. India, LOHA na Disco dancer.
Siku hizi siangalii kabisa movie za Hao jamaa.
Yan humu watu wangekuwa wanaelezea kidogo kama hivi wangetufanya na sisi tuzitizame, nitaitafuta hiyo movie nimeipenda.Duh Safi Sana. Kuna movie wanaita ""vaada"" Ni Moto wa kuotea mbali. Humo yanatokea mauaji ambayo mtizamaji unashindwa kujua Nani muuaji..labda Ni huyu labda Ni huyu. Asee Ni hatari.ukipata chansi itafute.
Nyingine Ni ile iitwayo KANTEE ya amitabachan, sunilsheti, Akshay Kumar, pamoja sanjey duty. Wanaiba bank wanashindwa kugawana kwa usawa kinachotokea wote wanauana.