Kwa Wapenzi wa Filamu za Kihindi (Bollywood Films)

Tamil ndo wanaongoza sasa its like kama jamii imewachoka Bollywood kwa kua walikua km wamewatenga hivi basi zikitoka za kule Tamil wanazipigia kampeni kama zote kushindana flani hivi!!!!!
 
Tamili hawawezi waongoza bollywood mkuu. Ni kweli kuna filamu mbili tatu za south India zimefanya vizuri sana kimauzo zaidi ya Bollywood lakini bado wapo nyuma sana kulinganisha na Bollywood kwa kila nyanja.
 
Najua hilo Bollywood wako juu ila kwa sasa ni km wanashindana mnooo watu wa hizo states

Japo Bollywood wanaongoza ila Kule wanapata upinzani mkali sana!!!!
Tamili hawawezi waongoza bollywood mkuu. Ni kweli kuna filamu mbili tatu za south India zimefanya vizuri sana kimauzo zaidi ya Bollywood lakini bado wapo nyuma sana kulinganisha na Bollywood kwa kila nyanja.
 
Tamil ndo wanaongoza sasa its like kama jamii imewachoka Bollywood kwa kua walikua km wamewatenga hivi basi zikitoka za kule Tamil wanazipigia kampeni kama zote kushindana flani hivi!!!!!
Mimi naangilia yoyote itakayopita machoni mwangu.

Ushindani wao ukijikita katika kutoa filamu kali kali sio mbaya sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…