Kwa Wapenzi wa Filamu za Kihindi (Bollywood Films)

Ajnabee (2001)
 
Mehek
Kulfi the singer
Twist of fate
This is fate
Gangaa

Karibia zote zimeshaonyeshwa na zinaonyeshwa Dstv channel 166

bidada unaonekanwa ni mtu mwingi kwenye series.

hiyo Kulfi niliwahi angalia, ilikua nzuri sana mwanzoni ila mbeleni nilipoona inaanza kupoteza utamu nikaachana nayo. mana Simshabiki sana wa series

Yule lead actor wake ambaye anakua singer jamaa yupo poa sana nilimkubali kabisa.
 

Hapo kwenye Sholay umenikosha sanaaa yaani sanaaa!! Maana hapa naangalia hiyo Movie tena ule wimbo wao wa Kwanza Jhanahi Tulengeee!! Minah Tolengeee!!
 
Inaitwa AJNABEE

ˡ ˡⁱᵏᵉ ᵇⁱᵍ⁻ᵗⁱᵗᵗʸ ʷᵒᵐᵃⁿ [emoji377]
 
Shukran

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zanzibar kulikuwa na kumbi kongwe sana za sinema, kama vile Empire, Sultana, ila niliyoifaidi ni Majestic Cinema

ˡ ˡⁱᵏᵉ ᵇⁱᵍ⁻ᵗⁱᵗᵗʸ ʷᵒᵐᵃⁿ [emoji377]
safi sana....
 
Sanaaaa kacheza series nyingi mnoo mojawapo dol alma rok sijui nimepatia spelling km umewahi kuiona hata azam tv niliona wameiweka wakatafsiri kisw,
Ila ni ya zamani kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…