Indian films nilizozielewa sana
1. Jab we met
2. Dil ka rishta
3. Kyon ki
4. Devdas
5. Raaz
Napenda nyimbo zao pia wanacheza vizuri sana
Sana! Wananifurahisha jinsi wanavyohusisha tamaduni zao mfano ndoa zinazofungwa kwa mujibu wa tamaduni zao au ibada yaani hawazionei aibu kabisa mila zao.sio kucheza tu, enviroment nzima ya shooting za video zao ni bomba sana.
Mi hata sizipendi, sijui kwanini.
Drishyaam ya ajay devgan ni muvi kali kinyama.ngoja niwape trela yake.
Ajay aliacha shule hajafika hata form4 ikabidi ajiajiri akafungua tv cable katika huo mji wao na kuendesha maisha yake na familia yake ya mke na watoto wawili wa kike mmoja akisoma chuo mwingine elementary.
Ajay ni mtu anapenda kutazama muvi hiyo inamfanya hadi wakati mwingine kuchelewa nyumbani au kurudi asubuhi kabisa.
Kuna kijana wa kiume mtoto wa IGP wa polisi alikuwa akisoma na mtoto wa ajay.kuna siku mtoto wa ajay aliingia bafuni kumbe yule dogo katega kamera ili aitumie hiyo video kwa kumtisha mtoto wa ajay afanye nae mapenzi!
Kiburi cha mtoto wa IGP kikampeleka hadi kwa ajay ndani na kutaka kumbaka yule mtoto kilichotokea ni bahati mbaya yule mtoto akapigwa kichwani akafa!
Usiku sana ajay anarudi na kukuta huo mkasa wa kuuliwa mtoto wa igp na kuzikwa uwani kwake.
Hapo ndipo anaposolve hiyo crime kwa kutumia mifano ya muvi alizokuwa akiangalia na kufanikiwa ingawa wote yeye na watoto wake na mke walikula kichapo cha haja
Doli armaano ki- Samrat Singh Rathore, nilkuwa namkubaki japo alikuwa narcissistSanaaaa kacheza series nyingi mnoo mojawapo dol alma rok sijui nimepatia spelling km umewahi kuiona hata azam tv niliona wameiweka wakatafsiri kisw,
Ila ni ya zamani kidogo
PK
3 idiots
Dostana
36 China town
Jab tak hai jaan
Hyper
King liar
Judwaa 2
Student of the year 1
Kapoor and sons
Dilwale
My name is Khan
Ek tha Tiger
Tiger Zinda hae
Bank Chor
Jhoom barabar Jhoom
Players
Dhoom 3
Baahubali 1&2
Padmaavat
Housefull 3
Yeh jawaani hai Deewani
Bang Bang
Prem Ratan dhan payo
Kick
Bajrangi Bhaijan
Rocket Singh
Duplicate
Kal ho naa ho
Yevadu
Badrinath
Holiday-a soldier is never off dutty
Phantom
Mohenjo Daro
Bajirao Mastani
Kuna movie kama sio za za kihindi kama Hotel mumbai,bonge moja la movie halafu ni kisa cha kweli.
Hizo mbili za mwisho nazielewa sana.kama hiyo Ittefaq(coincidence) ilivyoisha tofauti kabisa na nilivyotegemea.Ghajin,
Bajrang bhaijan,
Murder 3,
Baahubali,
Secrete superstar,
Dhoom 3,
Race,
Like stars on the earth,
Tiger zinda hai,
Ek tha tiger,
Kal ho na hoo,
Ittefaq,
Aashiq.
Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya kuziona 3 idiots,bhajranji bhaijaan na dhoom 3 nimeamini movie unazijua, nyingine hizi drishyam ya Ajay devgan,like stars in the sky ya amir Khan,na veer zaara ya sharukh Khan.PK
3 idiots
Dostana
36 China town
Jab tak hai jaan
Hyper
King liar
Judwaa 2
Student of the year 1
Kapoor and sons
Dilwale
My name is Khan
Ek tha Tiger
Tiger Zinda hae
Bank Chor
Jhoom barabar Jhoom
Players
Dhoom 3
Baahubali 1&2
Padmaavat
Housefull 3
Yeh jawaani hai Deewani
Bang Bang
Prem Ratan dhan payo
Kick
Bajrangi Bhaijan
Rocket Singh
Duplicate
Kal ho naa ho
Yevadu
Badrinath
Holiday-a soldier is never off dutty
Phantom
Mohenjo Daro
Bajirao Mastani
Ni kawaida tu kila mtu anakuwa na radha yake,kuna watu movie za kizungu huwa hawazieewi huwa wanaangalia kimkumbo.Sijui kwa nn naonaga bollywood kama bongo movie yaani Nina chuki ya wazi wazi kwao sijui wamenikosea nn hawa watu