Hata mimi sikuwa mpenz sana wa hizi muvi hasa zile zenye uongo mwingi za mapigano.ila hata hollwood hawaifikii bollywood kwa muvi stori za mapenzi na drama.wahindi wanaekti banaHii movie ilivyotoka nakumbuka nilikuwa India wali I advertise balaa.nikaamua kwenda cinema nilivyoenda nimeuliza kama kuna subtitle wakaniambia hamna only in Hindi. Ikanibidi nisiione.ingawa kuna wabongo wengine movie ya kihindi wakiiangalia wanaitafsiri kwa kiswahili sawasawa.wanaelewa.zamani nilikuwa mpenzi sana wa hizi movie baada ya kuiona baazigar ya sharukhan ila sio sasa
Mkuu Kuna aashique 2 si mchezoAashiqui
Mkuu Kuna aashique 2 si mchezo[/QUO
Naijua hiyo nzur pia hasa nyimbo zake vipo vizur
Dah mtoto wa masikini umenikumbusha mbali kidogo hapo kwenye dilwale na koyla hasa koyla inaumiza sana jamaa kua ndio mbwa na zinginezo kama baagh, conj juter con coter watu kama akina priya, Ben denzoper, amri shpur, sunjey, rajkumar, rhoyte mera, ndani ya zoom.Disco dancer
Kasampaida
Koyla
Jagira
Commando mithuni
Vishwatima
Tridev
Dilwale
Sapoti
Gangaajumana
Shaensha
Mard
amnesamne
Kuchikuchihotae
Kabikushikabigam
Kanoon
Duh hii zipo nyingi japo sikuizi nimeacha katika mastaa nampenda kajol na preity zinta
Naifaam Mkuu,ni one of the best..Dhadkan **ya sunil na Akshey,
Hapo sunili anakosa mke kwa umaskini alionao alafu anakuja kutajirika badae ni nzuri kuliko zote
Kuichagua kuch kuch hota hae ni mtazamo wngu,somaanishi ni best kwa wote Mkuu,iyo ni kwangu.Mi nafikiri Indian movies ni nyingi na nyingi ni best kuliko hiyo kuch kuch,
Baghban
Kyoi ki
Billu
Kila mmoja na mtazamo wake Mkuu,me kwangu nimechoose iyo japo zipo nyingi nzuri pia.Mohabatein
Diliwale dilhunia le jayanje
Hizo kali balaa hiyo yako haifiki hata robo