Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Doctor cha sijui muandishi alitaka kuleta ujumbe gani,its okay to cheat ama. Full kutwist story ya kuibiana Boyfriend kisha Mume
 
Nilicheka sana eneo hilo,wanaipenda Tanzania ila lugha hawaifahamu hata inavyoitwa wanaita Tanzanian
 
Mimi huwa sipendi kuangalia ongoing ila huwa nafanya exceptions kwa drama ambazo siwezi kusubiria hadi ziishe. The good bad mother nipo episode ya pili, it's really good.
Nimempenda huyu mke wa village head [emoji1787][emoji1787] muda wote yuko na mask usoni mpaka sasa sijafanikiwa kuona sura yake. Nimependa hiyo line, imenifikirisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…