Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

So far ongoing nazoona ni kali
1.king the land
2.see you in my 19 life
3.revenant
4.real has come
5.happiness battle
Zilizoisha hivi karibuni ambazo ni kali
1.my perfect stranger
2.dr cha
3.romantic s3
4.borah deborah

#Into the ring aliyewahi kuiona maoni tafadhali!

Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
 
Hapo nimeangalia 2 na 3. Hope kesho nitaianza 4(nimeijaribu leo ikanivuruga open yake kale ka kitimoto,kazuri kukaona kakiwa nyama tena rost na sio kakiwa kazima)
Mwaka huu jtbc wametupa kazi nzuri sana
1.Agency
2.Divorce attorney shin
3.Dr Cha
4.The good bad mother
5.King the land
3,4,5 drama kali sana
1,2 ni average

Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
 
Hapo nimeangalia 2 na 3. Hope kesho nitaianza 4(nimeijaribu leo ikanivuruga open yake kale ka kitimoto,kazuri kukaona kakiwa nyama tena rost na sio kakiwa kazima)
Ile scene pale watu wanakula kitimoto ilinichekesha sana wakawa wanakashangaa [emoji23][emoji23]
Ni nzuri sana nilichopenda ipo moja kwa moja hawa drag plot sana

Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
 
😂😂😂😂nimejikuta nacheka kabla sijaiona hio scene. Wakorea wabunifu sana

Wenye tabia ya kudrag plot ni wale wa family drama hasa za episode 100 ni shida

Wana hakikisha kazi zao zinafika mbali,story kali.wale maveteran ndio wananogesha ukali wa drama zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…