Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kumbe ulielewa kabla hata sijasema. Atashtukia tu umejifungua katoto kana dimples halafu mnaanza kupelekana tena mahakamani kukagombania.

[emoji1787][emoji1787] au naamua kua single maza by choice

Au naikomoa career yakee[emoji2] nakua kama faiza Ally
 
Chemistry yao ni kali sana unaweza fananisha na Lee Seung Gi na Bae Suzy
Yah na Chemistry yao ilianzia 2021 mwishoni kwenye MBC Music Festival waliperform duet na ile cheza yao aah kama couple vile ilikuwa[emoji38]
 
Hii series tamu aisee yaani kuiangalia ni kama vile unavuta picha ya mastaa wa Insta influencers
 
Yah na Chemistry yao ilianzia 2021 mwishoni kwenye MBC Music Festival waliperform duet na ile cheza yao aah kama couple vile ilikuwa[emoji38]
Hawa sio bure wanadate mana hii chemistry as if hawaigizi[emoji23][emoji23]..
Nilichopenda zaidi yan wamepewa screetime kubwa mno
Episode 1-3 zilikuwa slow flan hivi kwangu lakini kuanzia ya 4 ni moto sana nasubiri kwa hamu za wiki ijayo huku nikiisindiza See you in my 19 life na Numbers
 
Ila Numbers mule tuliokimbia Mathematics na Accounts tunapelekwa mbio sana.
 
Hii drama hadi mwisho sijaielewa na sijaona warembo zaidi ya waliokandikwa make ups

Wazee wa taste wataisimanga balaa
Ni tastes ndio tatizo in short inagusa life lao influencers,fame n.k

Ni kama vile ile Now We Are Breaking Up na fashion world ama Shooting Stars na life la supestars.

Wazee wa tastes hizi watuachie wale fans lialia maana kwenye reviews zao hata Family dramas huwa wanaziponda sana[emoji23]
 
Asante ngoja namimi niivute hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…