Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kumbe ulielewa kabla hata sijasema. Atashtukia tu umejifungua katoto kana dimples halafu mnaanza kupelekana tena mahakamani kukagombania.
Au unambambika Song kang[emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787] au naamua kua single maza by choice
Au naikomoa career yakee[emoji2] nakua kama faiza Ally
Rumours wanadate kweli kweliHuyu jamaa kapagawa na Sa Rang si kitoto[emoji23][emoji23]View attachment 2676513
Au unambambika Song kang[emoji3][emoji3]
Zimekanushwa na Agencies but tutaonaRumours wanadate kweli kweli
Inaitwaje hii drama?Huyu jamaa kapagawa na Sa Rang si kitoto[emoji23][emoji23]View attachment 2676513
Chemistry yao ni kali sana unaweza fananisha na Lee Seung Gi na Bae SuzyZimekanushwa na Agencies but tutaona
King The LandInaitwaje hii drama?
Yah na Chemistry yao ilianzia 2021 mwishoni kwenye MBC Music Festival waliperform duet na ile cheza yao aah kama couple vile ilikuwa[emoji38]Chemistry yao ni kali sana unaweza fananisha na Lee Seung Gi na Bae Suzy
Hawa sio bure wanadate mana hii chemistry as if hawaigizi[emoji23][emoji23]..Yah na Chemistry yao ilianzia 2021 mwishoni kwenye MBC Music Festival waliperform duet na ile cheza yao aah kama couple vile ilikuwa[emoji38]
Ma drama ya maceleb ni nzuri nimeona nipo episode ya 8Hii series tamu aisee yaani kuiangalia ni kama vile unavuta picha ya mastaa wa Insta influencers View attachment 2677160
Ila Numbers mule tuliokimbia Mathematics na Accounts tunapelekwa mbio sana.Hawa sio bure wanadate mana hii chemistry as if hawaigizi[emoji23][emoji23]..
Nilichopenda zaidi yan wamepewa screetime kubwa mno
Episode 1-3 zilikuwa slow flan hivi kwangu lakini kuanzia ya 4 ni moto sana nasubiri kwa hamu za wiki ijayo huku nikiisindiza See you in my 19 life na Numbers
Inaitwaje hii?!Nilijua swala la machawa ji Tz tu, mpaka nilipokuja kuona shughuli ya huyu mwamba😄View attachment 2672301
Hii series tamu aisee yaani kuiangalia ni kama vile unavuta picha ya mastaa wa Insta influencers View attachment 2677160
Ni tastes ndio tatizo in short inagusa life lao influencers,fame n.kHii drama hadi mwisho sijaielewa na sijaona warembo zaidi ya waliokandikwa make ups
Wazee wa taste wataisimanga balaa
Ipo sahihi zote kaliKwa mujibu wa ChatGPT hizi ndio Top korean drama ,sijawahi kutazamwa hata moja Kati ya hizo.View attachment 2620826View attachment 2620825
👏🏾👏🏾👏🏾 4Kwa upande wa historical list yao ni hii ,hapo vilevile sina hata moja niliyowahi kutazama kwa ujumla sijafikisha hata 25 idadi ya Korean drama nilizowahi kuangalia na kumaliza zote wakongwe wakina Daemushin(Mzanzibar ) na wengine heshima yao.View attachment 2620836
View attachment 2620839
Asante ngoja namimi niivute hiiMissing the other sides season 2 nimeipenda. Napenda drama zinazohusu mizimu(ghosts)hasa wasiotisha. Humu inaelezea watu walifariki kwa kuuliwa ama ajali kisha miili yao ikazikwa kwa kificho hivyo wanajikuta kwenye kijiji wasichokifahamu. Mwili ukigundulika anapotea kule kijijini.
Nianze safari ya kuivuta season 1 nayo nione yaliyomo
Variety show three meals a day. wanakula hawa watu kama mchwa😂😂😂😂