Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Waaow Hongera Mkuu
It's Beautiful Now

The Gentlemen of Wolgyesu Tailor Shop

You Are The Best

House of Bluebird

Beautiful Love, Wonderful Life

Homemade Love Story

Wonderful Days

Three Bold Siblings

My Daughter Geum Sa Wol

All About My Mom

What Happens to My Family
Ile list ulionipa nimeimaliza.

My father is strange
My golden life
Ojakgyo farm
My husband got a family
Wangs family
Five enough
Once again

Hii marry me now nimeishia kati

Kama kuna zengine kali zidondoshe niruke nazo.
 
Forest

Chocolate

Racket Boys

Sweet Stranger and Me

Once Upon a Small Town

Warm and Cozy

Hometown Cha-Cha-Cha

When the Camellia Blooms

Eccentric! Chef Moon

Little Forest

Nimestop baada ya episodes 4 nitaendelea nayo ikiisha,weekend yangu inaenda vizuri kwa drama hizi
Revenant
King the land
See you in my 19th life
Real has come

Naombeni recommendation ya drama za country side mood yangu ndio imehamia uko sahivi
 
Umetisha.
 
Talnam anaweza ongezea links. Jaribu huku,nimeokota google




Nimesaka sehemu za kupakua hii show ya Exchange/Transit Love nimekosa ila sikati tamaa talnam saidiaView attachment 2694478
 

Kwelii

Kissasian zinaingiliana na dramanice na dramacool

Ila drmanice naona huwa rahisi kwangu nikitaka kushusha vitu vya quality kama bundle la uhakika
 
duh hio stage ya kulia inipite mbali🤣🤣🤣🤣siku hizi sipend drama za youth hasa wakiwa shule sijui wivu kisa nazeeka au hawajui kuigiza.

Na Reality nilijaribu kuangalia za idols wa kike hasa black pink na wengine nimewasahau nikaishia hapo,wadada hawachamki bora vihandsome
Hii imenifanya had ni wa follow instagram eti nililia kabisaa

Utamuona bae wangu taekeem humo
 

[emoji1787][emoji1787]
Yani hii reality iliniliza kuna huyo dada analia tangu siku ya kwanza anaingia anamlilia mwanaume

Yani utamuonea huruma
Alaf mwanaume anavyompotezea sasa

Iko so emotional alafu wa umo wakubwa wakubwa
 
[mention]Al-Hadidy [/mention] 19/20 najuta kuitazama ongoing

Hivi vitoto vinanitafakarisha
Mbona ji woo sio pisi sana kama ye rin
Au vile kaja mwishon…

Jung hyun ananifurahisha sana ila jiwoo ni mambo mengi kama so yeon
 
[mention]Al-Hadidy [/mention] 19/20 najuta kuitazama ongoing

Hivi vitoto vinanitafakarisha
Mbona ji woo sio pisi sana kama ye rin
Au vile kaja mwishon…

Jung hyun ananifurahisha sana ila jiwoo ni mambo mengi kama so yeon
Kuisha bado hiyo hadi episode 13
 
Ngoja niwajaribu vijana wa sasa tuone.
Ndio kwanza naelekea sehemu ya pili. Siwezi kutoa maoni yoyote mpaka muda huu. Kazi inaitwa "THE RIVERS WHERE MOON RISES" hii ni kazi ya mwaka 2021. Ina episodes 20 ni kazi kutoka kwetu Gogryeo.
Halafu hizi title za hizi series zinakuwa na maana juu ya matukio ya ndani ya kazi husika.

kwa uungwana kabisa, kama mmepata kuku nami naomba mnirushie paja.
 
Hii drama kali sana penyewe tu Main Character Ji Soo alibadilishwa baada ya skendo ya School Bullying ila Na In Woo akajaribu kuibeba.


Kwa uelewa wangu Moon huwa inamaanisha Princess/Queen katika ufalme sasa hapo endelea kuchambua[emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…