Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

🤣🤣 mie ndio muhenga ambae bado nawatazama wavaa mapazia.
Yes Al hadidy ni moja great captain wa hili jahazi.
Mzee wa Haji won ana moyo mgumu
 
🤣🤣 unazeeka vibaya
 
Una accounts mbili bila shaka[emoji16]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mimi huyuhuyu. Hapo kwenye harusi ndio nimepapentaa... talnam jiandae kushona sare bwana harusi sijui atakuwa yupi kati ya wale wengi
 
60Billion Won

Hii drama imeingia kwenye list ya most expensive dramas ikienda juu ya Arthdal Chronicles.

Hii inafanya nitake kutizama yaliyomo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mimi huyuhuyu. Hapo kwenye harusi ndio nimepapentaa... talnam jiandae kushona sare bwana harusi sijui atakuwa yupi kati ya wale wengi

Yoyote hata wa delivery ya Alibaba[emoji1787] ilimradi mkoreaa

Haya niangalie material ya gauni ( silk toka shilla)

Harusi tunayoo[mention]Khantwe [/mention]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…