Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Anakwambia Directors wanamuangusha Ha Ji Won [emoji23]

[emoji1787][emoji1787] mi huyo dada simuweki kwenye drama ntazotizama yani curtain call ndo kanimaliza utafikiri rookie

Transit love nimeishia 12 wamenikera

Yani mapenzi yenye drama huwa wanadumu sana sijui kwanini mpaka leo couple ya juhwi ipo lol
 
Six flying dragons ya kwanza- nasikia ni Kali Sana, mi nili Angalia hidden roots- ya pili 🔥🔥
 
Wapo pamoja kwa sababu wanapendana we si unakumbuka kwenye zile barua za kumuelezea ex Min-young alisema anajutia breakup waliachana kwa jambo dogo sana!
Pia katikati ya show walianza kupoteza na watu wengine walikuwa mahaba yao yasharudi but ilibidi tu wafuate sheria wasiwakatalie date wanaowaomba[emoji16]

Juhwi naye alifuata moyo wake licha ya charms za Hye Sun na mikogo yake.

Naipenda sana hii couple hawaoni tabu kupostiana kabisa[emoji23]


Sema kaangalie tu Love Recall.utaipenda inaumiza na kufurahisha moyo kwa wakati mmoja
View attachment 2717075
 
Mimi lazima iwe mapazia ,panga na pori tu ,hata wale mapazia advanced yenye maurembo na makofia yenye masikio naona ninapigwa wa design hiyo nimecheki Jang yeong sill na hii Six_fying dragon.
 

Juhwi anakera kujinunisha
Na min young muhuni tu [emoji35]

Coco wangu angerudiana na ex wake

Ho min nilimuelewa ila akanikera, wanaume huwa selfish sana hasa kwenye transit atake yeye tu[emoji35]
 
Juhwi anakera kujinunisha
Na min young muhuni tu [emoji35]

Coco wangu angerudiana na ex wake

Ho min nilimuelewa ila akanikera, wanaume huwa selfish sana hasa kwenye transit atake yeye tu[emoji35]
Relationship ili iwe imara lazima ipitie ups and downs hapo nyuma ilikuwa ni utoto tu(immaturity) iliyosababisha wakatengana now wamekua kiakili watatoboa tu.

Ho-min mpuuzi sana alikuja kushtuka kumekucha akiwa kashachelewa,iwe funzo kwa majamaa wanaopenda kuchukulia poa feelings za watoto wa kike wanaowapenda.

Sema hata wale Hye Im na ex wake walipaswa kurudiana tu ila crush ya muda mfupi kwa Min Jae ikaharibu,sometimes kazi ni kikwazo kwa relationships nyingi kama yao iliharibika kwa ubize wa kazi.

Coco na Min Jae ilikuwa miaka mingi sana tangu watengane so feelings lazima zipotee but Co-co ana boyfriend kwa sasa


Now naelekea ukingoni mwa show ya Love Recall dah hii show inafunza vingi aisee kwa sababu ni reality tosha kila episode inakuacha na funzo
 
Ni nzuri especially kama unaijua historia ya yule khan aliesumbua sana korea,Japan na china enzi hizo
Sasa hii series ndo story ya huko jamaa alikua balaa kwa mapigano as alimvamia na kumuua adi young emperor wa japan wala kama sio china!
Ni action Sasa ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…