Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Asante Zuchu tako la kuzugia hilo sio flat screen
Al-Hadidy
 
👉@Al-hadidy hata kama wanajikondesha kamzigo kakuzugia hakawezi kuisha itakua DNA yao haina code za msambwanda😂
 
[emoji117]@Al-hadidy hata kama wanajikondesha kamzigo kakuzugia hakawezi kuisha itakua DNA yao haina code za msambwanda[emoji23]
Nishakwambia sio priority unajua kwa nn wanaume wa Korea wakipishana na mwanamke wanageuka nyuma na pisi hazina tako?
Wanaangalia nini?

Kuna kitu inaitwa nature hawaoni kasoro
 
...Alienishauri kuangalia Descendants of the sun... Aishi siku nyingi na nampenda sana...
 
...Naombeni nyingine yenye full romantic na commed achilia mbali kupiganaaa...
 
Gaetal, an unknown figure in a dog mask, carries out his own brand of justice against heinous criminals.

He holds polls, called the killing vote, to determine if a criminal deserves a death sentence and executes their punishment based on the results.
============

Wakorea wametuletea sura nyengine mfano wa the devil judge.
yule alikuwa adamu na huyu amekuwa ibilisi licha ya kwamba wote wamechagua njia moja ya kufakamia tunda la hukumu kwa njia ya public polling.

Si mbaya sana kwa kusukumia muda....
Imefika episode 5.
 

Uyo Mubaba wa Nne anakuwaga na roho mbayaaa
Sijamsamehe kweny bloodhounds[emoji16]
 
Uyo Mubaba wa Nne anakuwaga na roho mbayaaa
Sijamsamehe kweny bloodhounds[emoji16]
He's a versatile actor.
roho ngumu yeye
ucheshi yeye
ukatili yeye

park sung woong amebarikiwa, hapo ndipo ninapowapenda supporting actors wa korea.
takribani wote ni vinyonga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…