Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

ana nyota[emoji23], halafu wengi hawapendagi historical na watu wagumu.
mimi napenda mapanga ndo mana nawapenda marshals
akina anold,rambo walishaniathiri kisaikolojia[emoji23][emoji23]
hahahahaaaa mi historical ndo vitu vyangu
apart from titanic and romeo n juliet cjui kama kuna love story nyingne napenda ama ata kutazama
mostly vitu vya mkono tu full action ama comedy action za kina jackchen
 
Alikua anachekesha , Anaitwa Eun nadhani....
ntaitazama very soon
 
Ya kichina nnayo ikubali kuliko zote Three Kingdoms
katika series nilizowahi kuzitazama za Vita /historical
wachina hapa nimewapigia salute

Ep95 sikuziona nyingi
 
Reactions: Qj_
Hwarang, ndio nimeimaliza, eps 20 na imejitosheleza kabisa.

Wadau aliyeiona VOICE anipe dondoo kidogo nataka nianze kuicheki.
 
Hwarang, ndio nimeimaliza, eps 20 na imejitosheleza kabisa.

Wadau aliyeiona VOICE anipe dondoo kidogo nataka nianze kuicheki.
ni nzuri,kuna bnadam humo ana psychopaths ya kuua wa tu na chuma
si akakosea akamuua mke wa askari mmoko aka mad dog
huo mtaftano wake.ni nzuri balaa,jang hyuk tena hakoseag
 
Nimeiangalia good doctor!!! Yaani Tanzania tunawadharau watu kama yule doctor na kuwaona vichaa tu...
 
Wadau site gani nitaidownload love story in harvard ikiwa na high quality free
Duu! Hii niliipenda mwanzoni ila nikachoka fuatilia mbele... Ni mapenzi ya kiutu uzima... Mi napenda ya watoto [emoji23][emoji23][emoji23] kama boys over flowers
 
Team Lee Min Ho [emoji113]
Yaani nilimfriend hadi FB enzi hizo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
CD zao zinauzwa sh ngap?maana sijawahi nunua ila huwa nadownload mtandaoni zipo vizuri hasa kwa gb za usiku kasi nzuri
Jamn m ninapenda hiz drama zao Ila nanunua CD sasa naona naona usumbufu njia rahisi ya kuzipata n ipi
 
Nice song
 
Nimeiangalia good doctor!!! Yaani Tanzania tunawadharau watu kama yule doctor na kuwaona vichaa tu...
Acha tu,kumbe wana vipaji na akili masikini [emoji24]
Hii series imeniliza sana jamani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…