Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

ana nyota[emoji23], halafu wengi hawapendagi historical na watu wagumu.
mimi napenda mapanga ndo mana nawapenda marshals
akina anold,rambo walishaniathiri kisaikolojia[emoji23][emoji23]
hahahahaaaa mi historical ndo vitu vyangu
apart from titanic and romeo n juliet cjui kama kuna love story nyingne napenda ama ata kutazama
mostly vitu vya mkono tu full action ama comedy action za kina jackchen
 
.hahahahaaaaa we kiboko,smtm inanoga mbele ya safari usiwe unajinyima mautam hivyo
kingface mi nakushauri ukipatanafasi icheki tena,kastori kameenda shule

aaaah afu huyo mrembo cjmuona kwenye series nyingine zaid ya hiyo ya shine or go crayz

hahahaaaa aaah jamani wakaka wakikorea ni wazuri,mi nilikapenda ka 14th prince kale kalikochinjwa na main lead na mke wake
Alikua anachekesha , Anaitwa Eun nadhani....
ntaitazama very soon
 
Ya kichina nnayo ikubali kuliko zote Three Kingdoms
katika series nilizowahi kuzitazama za Vita /historical
wachina hapa nimewapigia salute

Ep95 sikuziona nyingi
 
  • Thanks
Reactions: Qj_
Hwarang, ndio nimeimaliza, eps 20 na imejitosheleza kabisa.

Wadau aliyeiona VOICE anipe dondoo kidogo nataka nianze kuicheki.
 
Hwarang, ndio nimeimaliza, eps 20 na imejitosheleza kabisa.

Wadau aliyeiona VOICE anipe dondoo kidogo nataka nianze kuicheki.
ni nzuri,kuna bnadam humo ana psychopaths ya kuua wa tu na chuma
si akakosea akamuua mke wa askari mmoko aka mad dog
huo mtaftano wake.ni nzuri balaa,jang hyuk tena hakoseag
 
Wapendwa wangu,wanafamilia yangu ya Joseon [emoji23] [emoji23] [emoji23] na Seoul. Sasa hivi naangalia drama ya good doctor na karibia nitaimaliza.
Wakati wote huu nimekuwa nikiburudika na hii OST,nimeona ni vyema nikishare na Wanakorea wenzangu.
Nimeikubali sana

cc Damushin Khantwe Prishaz (Noona umepotea sana,khaaa)
Enjoy it guys

Nimeiangalia good doctor!!! Yaani Tanzania tunawadharau watu kama yule doctor na kuwaona vichaa tu...
 
Wadau site gani nitaidownload love story in harvard ikiwa na high quality free
Duu! Hii niliipenda mwanzoni ila nikachoka fuatilia mbele... Ni mapenzi ya kiutu uzima... Mi napenda ya watoto [emoji23][emoji23][emoji23] kama boys over flowers
 
Tena nianzishe akicheka mimi nachekaga mpaka basi.
jamaa ni very funny
nmeanza kumfata tangu Chuno
Akiamua kubonda anabonda haina mfano
akiamua kucheka ndo anacheeka[emoji23][emoji23]

Jang hyuk ndie muigizaji wa korea nnaempenda kuliko wote
akifatiwa na Lee byung hun , Song jo ho, Lee soo hyuk(model) kang ha neul ( nampendaga tu)
na wabondaji wotee wanajua mkono.


watu tunatofautiana Mfano watu wanampenda Lee mi ho ,mm walaaa hata simhusudu namwona kama waigizaji wa kawaida kabisa. na sijawahi kutafuta series zake kwa nia nmeona city hunter akanichefua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mm napenda mwingizaji mwenye Greedy ,jitu makini liko serious likiamua kufanya kitu hakuna wench wakumzuia. kwahivo leminho hakidhi vigezo vyangu
Team Lee Min Ho [emoji113]
Yaani nilimfriend hadi FB enzi hizo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
CD zao zinauzwa sh ngap?maana sijawahi nunua ila huwa nadownload mtandaoni zipo vizuri hasa kwa gb za usiku kasi nzuri
Jamn m ninapenda hiz drama zao Ila nanunua CD sasa naona naona usumbufu njia rahisi ya kuzipata n ipi
 
omo omo omo ..... pole sana japo kuwa ni maumivu ila kuwa mvumilivu ni miaka 2 tu.
japokuwa hujachagua wimbo unaoupenda ila nimeamua kukupigia huu wimbo unaoitwa painful love ambao ni ost kwenye THE HEIRS kutoka kwa Minoz oppa kwa ajili ya kuondoa mawazo na huzuni


Nice song
 
Nimeiangalia good doctor!!! Yaani Tanzania tunawadharau watu kama yule doctor na kuwaona vichaa tu...
Acha tu,kumbe wana vipaji na akili masikini [emoji24]
Hii series imeniliza sana jamani!
 
Back
Top Bottom