Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Asee,kama wewe ni mdau wa action movies...worst of evil itakufaa

Mie nisiyependa vurugu na dirty b'ness nimeishindwana nayo episode ya kwanza tu...najutia bando langu tu manake nilidownload episodes zote
Unapenda category ipi mkuu nikupe recommendation
 
Saiv dram nyingi hazina mzuka au mimi nimepunguza ulevi

Baada ya my dearest

Nimeanza episode chache za

Korea-khitan war stori nzuri ila usodoma kweupe nachoka kabisa

Vigilant - vibe za mouse kabisa

Doona- bae suzy kaact kama rookie

Twinkling watermelon - najikaza nayo hapa maana ina musik nataka nione hatma ya band
 
Episode ya kwanza tu watu wanachomana visu na kuvuta unga 😥

Hapa nimedownload nyingine inaitwa celebrity,kesho mchana naanza nayo
Watakuja kukupa muongozo Khantwe Numbisa

Yoyote ila sio za vita/ngumi/kutoana damu na zile za vijijini(muundo wa Jumong) sitaki hata kuzisikia
Hizi sasa mimi ndo drama zangu
Za vijijini tupo nazo bega kwa bega

"mambo ya taste🤣 "
 
Hizi nzuri hutajutia bando lako(muda wako)

Crash Landing on You

Descendants of the Sun

The Heirs

I’m Not a Robot

Healer

Fight for My Way

Love in the Moonlight

What’s Wrong with Secretary Kim

Business Proposal

My Love from the Star

Hwarang: The Poet Warrior Youth

Bring It On, Ghost

Coffee Prince

Etc etc Hapo sijaweka hospital dramas nazo ni nzuri sana
Episode ya kwanza tu watu wanachomana visu na kuvuta unga 😥

Hapa nimedownload nyingine inaitwa celebrity,kesho mchana naanza nayo
 
Aanze na healer..my favourite of all time. Hii ni moja Kati ya series bora kuwahi kutolewa na wakorea. Soundtrack yake ile main ni 🔥
 
Episode ya kwanza tu watu wanachomana visu na kuvuta unga 😥

Hapa nimedownload nyingine inaitwa celebrity,kesho mchana naanza nayo
Anza na Healer. Lakini pia unaweza angalia Spring Night
 
Anza na Healer. Lakini pia unaweza angalia Spring Night
Kuna anayeangalia healer mwaka huu 2023? 😃

Binafsi naangalia latest drama ya mwaka husika ama mwaka unaofuata mwanzoni....mfano drama za 2023 nitaacha kuangalia 2024 june

Hata healer niliiangalia kipindi inatoka
Hiyo spring night nimeona ni ya 2019 🤦‍♀️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…