Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Hadi sasa nazipenda na bado huwa naziangalia mara moja moja though mambo ya kukodoa macho kusoma subtitles ndiyo yananikera na sina jinsi ya kukwepa!!
Kweli ile inakera na inabidi uwe sharp na intelligent pia hahaaaaa
 
Kweli ile inakera na inabidi uwe sharp na intelligent pia hahaaaaa
Na mbaya zaidi kwangu, kwenye movie au series napenda sana kufuatilia stori!!! Sasa hii habari ya subtitle inakuwezesha tu kufuatilia stori huku baadhi ya matukio yakikupita japo kwa sekunde mbili tatu wakati una-digest subtitles!!
 
Mimi huwa naweza kuunganisha vyote kwa mpigo...subtitles na matukio [emoji41]
 
Series mpya...Innocent man..The defendant.. Man2man..Glass mask...Eye to Eye..Legend fragrance...tafuteni hzo
 
Series mpya...Innocent man..The defendant.. Man2man..Glass mask...Eye to Eye..Legend fragrance...tafuteni hzo
Defendant ishamalizwa last month. Niko na Rebel A thief who stole people's hearts. Kati ya hizo umesema ipi ni kali level ya defendant ama kama ni kijijini itafikia level za Six Flying dragons ama Jackpot ama The Flower in Prison ??
 
wow!!! shukrani sana tena sana.

naomba uniunganishe na team Jung suk (wa kwenye Love Rain sina hakika kama jina lake nimeandika vema)
 
Asante sana daah miaka miwili itaisha kweli?
 
안녕핫심니카? 올만니다. Nawasalimu wote wana jf wapenzi na wadau wa korean drama. Hivi team song il gook 송일국 na team choi soo jong 최소종 mpooo??
 
Daaa ,siku nyingi sijaangalia hizi muvi ,umenkumbusha mbali ngoja nifany hima , nianze tena kuziangalia, nimewamis sana hawa jamaa…!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…