Habari Chingu,
Kitambo sijachangia humu jukwaani,2024 imeanza vizuri baadhi ya drama kali zishatoka na zinginezo zinakuja
Hizi drama za Side country zina vibe flani hivi ya kipekee( Nimemalizana na Welcome to Samdaril,imekuwa project yangu ya kwanza kuimaliza kwa mwaka 2024)
Natarajia kuanza Doctor Slump,mara nyingi drama yenye medical huwa navutiwa nazo,huku niiendelea kufata recommendation za wengine.
Hivi ni kweli? Inasadikika drama nyingi zilizotoka mwaka 2016 na 2018 ndio bora zaidi katika industry ya drama za korea?
Nimeikuta kwenye Ile page ulinipaga tlgrm ila dizan kipo slow ila kinafanya kaziNami nasubiria wa kunipa huo ujuzi
LTNS ndo nini jamani
Mwendo wa kutelezaNimeikuta kwenye Ile page ulinipaga tlgrm ila dizan kipo slow ila kinafanya kazi
LTNS, long time no sex, hapa ni mambo unayoyapenda and more, nkiri inachezea Mb 90_110...zimeshatoka ep 4 na Ina jumla ya ep 6. Enjoy
My teacher, kumbe na Huku upo😄Niko hapa, moto sio moto ni balaa 🙌🏾
Nimeikuta kwenye Ile page ulinipaga tlgrm ila dizan kipo slow ila kinafanya kazi
LTNS, long time no sex, hapa ni mambo unayoyapenda and more, nkiri inachezea Mb 90_110...zimeshatoka ep 4 na Ina jumla ya ep 6. Enjoy
Mimi ndio empress hapa, ngoja M Z A N Z I B A R I aje akuambie.My teacher, kumbe na Huku upo😄
Safi my teacher, vipi ost una penda??Mimi ndio empress hapa, ngoja M Z A N Z I B A R I aje akuambie.
Mimi ni mmoja kati ya waanzilishi wa mambo ya hizi drama za Kikorea hapa JF.
Sana, ninazo kibao kwenye kifaa changu.Safi my teacher, vipi ost una penda??
So far mwaka huu bado sijaona OST kali kama (My heart ya BUMJIN), kwenye drama ya "Welcome to Samdalri".Safi my teacher, vipi ost una penda??
Kuna OST za Moon in the day kali sanaSo far mwaka huu bado sijaona OST kali kama (My heart ya BUMJIN), kwenye drama ya "Welcome to Samdalri".
Bila shaka umeangalia show yetu pendwa,nimefikiria kwa kina nikaona hapana ile couple ya Dong Jin acha tu ife yule Bibie aendelee na yake atafute new guy ,aache kumuona mwanaume kama Oxygen kwake kwamba bila yake atakuwa suffocatedNimeikuta kwenye Ile page ulinipaga tlgrm ila dizan kipo slow ila kinafanya kazi
LTNS, long time no sex, hapa ni mambo unayoyapenda and more, nkiri inachezea Mb 90_110...zimeshatoka ep 4 na Ina jumla ya ep 6. Enjoy
Hii kila nikiisikiliza siichoki.Kuna OST za Moon in the day kali sana
Nikupe zangu ???, ninazo zikubali.Sana, ninazo kibao kwenye kifaa changu.
Nafikiri ulichelewa kuja hapa, tumewahi kulijadili kwa kina.
Nikipata muda nitakuja kukuwekea list ya OST zangu pendwa za muda wote.
Mi za Mwaka huu sijui, ila Nina ost Kali mnoo.So far mwaka huu bado sijaona OST kali kama (My heart ya BUMJIN), kwenye drama ya "Welcome to Samdalri".
Yes, please!Nikupe zangu ???, ninazo zikubali.
👉Afu uje useme?
1,Our tears by hyolin (hwarang)Yes, please!
1 & 2 umetisha, nazikubali.1,Our tears by hyolin (hwarang)
2,Can you hear my heart by Lee hi(no rap)- scarlet heart..
3, when the wind blows by huge (Nirvana in fire).
4, when I close your eyes by bonngu (where the river rises).
5, just watching you by jeong(alchemy of souls).
6, good day by melo mance (Mr sunshine)
7, stay with me by chanyeol (goblin).
8, round and round by heize (goblin).
9, amazing Grace by yoona (k2).
Nifah niishie hapa my teacher, ai na za kihindi🤣😄🤒.
👉 Mac Alpho
Cheki na hizo nyingine ni balaa, hiyo can you hear my heart ni 🔥 🔥.1 & 2 umetisha, nazikubali.