Gwanggaeto the Great
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 831
- 1,792
Acha niwe mganga mpiga ramri, " hiyo drama haitokuwa nzuri kama ya kwanza" technology kuna namna inaathiri uwezo wa binadamu, they can't give all they've, because of assistance of tech.Unaikumbuka jewel in the palace ya mwaka 2004,
lee young ae amekubali ofa ya kuigiza tena kwa mara nyengine uhusika wa dae jang geum baada ya miaka 20 kupita.
drama hiyo itaitwa Uinyeo Dae Jang Geum na inatarajiwa kuonekana mapema mwaka ujao.
View attachment 2889049
Humu ndani Khantwe & Numbisa(wakongwe) wamekuwakilisha vema, bila kusahau Talnam( kizazi kipya).Bado ipo, na naweka drama kila nikipata nafasi.
M Z A N Z I B A R I rudi kwenye channel tusaidiane kuwapa burudani wapenzi wa drama za kikorea hapa bongo.
Hii ni habari njema kwangu. Hii drama nimeiangalia mara mbili, na hiyo mara ya pili ni mwaka jana.Unaikumbuka jewel in the palace ya mwaka 2004,
lee young ae amekubali ofa ya kuigiza tena kwa mara nyengine uhusika wa dae jang geum baada ya miaka 20 kupita.
drama hiyo itaitwa Uinyeo Dae Jang Geum na inatarajiwa kuonekana mapema mwaka ujao.
View attachment 2889049
Mwenyewe nilikuwa nawaza kurudiaHii ni habari njema kwangu. Hii drama nimeiangalia mara mbili, na hiyo mara ya pili ni mwaka jana.
Naipenda mno!
Nina siri nawe sasa, simu ya whtsap inazingua ila nishakutextNa umefanya siri
Bila shaka umeangalia show yetu pendwa,nimefikiria kwa kina nikaona hapana ile couple ya Dong Jin acha tu ife yule Bibie aendelee na yake atafute new guy ,aache kumuona mwanaume kama Oxygen kwake kwamba bila yake atakuwa suffocated
Queen unawakumbuka wale wanafunzi uliowafundisha elimu ya msingi?Bado ipo, na naweka drama kila nikipata nafasi.
M Z A N Z I B A R I rudi kwenye channel tusaidiane kuwapa burudani wapenzi wa drama za kikorea hapa bongo.
Nasubiria ziishe ongoing mateso sana
Humu ndani Khantwe & Numbisa(wakongwe) wamekuwakilisha vema, bila kusahau Talnam( kizazi kipya).
Hiyo Channel mnanikumbusha Enzi za Stove League, Fiery Priest, Six flying dragon n.k
Mateso na ikiwa sio kali unajikuta unaiacha.
Hiyi love aftr divorce s04 ni dating show imeisha
Kwa hiyo zenye mrengo ule huwa huangalii?[emoji1787][emoji1787] kizaz kipya
Washukuriwe wazungu kwa kulazimisha agenda zao
Nikaibukia korea🫡
Labda nikutane nayo hukoKwa hiyo zenye mrengo ule huwa huangalii?
OkeyLabda nikutane nayo huko
Ila kama ltns imo ila namna wameadress sio kama ambavyo wazungu wanalazimishia
Ni movieMzee wa descendants of the sun, arthdal chronicle s 1,
[emoji117]song joong- ki ana Rudi na series hii ya my name is kiwan.
[emoji117]Mwezi was tatu.
View attachment 2893569
Icheki ujue, Google is there to serve youNi movie
Director wa Dae Jang Geum alijua kucheza sana na zile scene, main characters wote walijitoa sana kwenye hiyo kazi.Hii ni habari njema kwangu. Hii drama nimeiangalia mara mbili, na hiyo mara ya pili ni mwaka jana.
Naipenda mno!
Hakuna character ambaye simpendi kwenye hiyo drama series.Director wa Dae Jang Geum alijua kucheza sana na zile scene, main characters wote walijitoa sana kwenye hiyo kazi.