Gwanggaeto the Great
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 831
- 1,792
Acha niwe mganga mpiga ramri, " hiyo drama haitokuwa nzuri kama ya kwanza" technology kuna namna inaathiri uwezo wa binadamu, they can't give all they've, because of assistance of tech.Unaikumbuka jewel in the palace ya mwaka 2004,
lee young ae amekubali ofa ya kuigiza tena kwa mara nyengine uhusika wa dae jang geum baada ya miaka 20 kupita.
drama hiyo itaitwa Uinyeo Dae Jang Geum na inatarajiwa kuonekana mapema mwaka ujao.
View attachment 2889049