Ni ujinga sana,mbali na Transit Love sidhani kama nitakuwa fond na nyingineNikipata kitonga nitaangalia ya Korea
Nikitazama i am solo kwenye divorced special walikua wanasifia sana love after divorce
Nilipopenda Hawa baada ya show kuisha wanapewa mwenz wa kukaa pamoja Tena aseee[emoji2][emoji2]
Huyo mmoja ana watoto watatu mkaka anae mmoja akaenda Kwa mdada kukaa huo mwenz,wale watoto ni Zaid ya akina junior [emoji1787][emoji1787]. Nasikia wameachana na ni couple ya mapema kutokea mjumban
[emoji1787][emoji1787] tuna Kaz ya kuhama vijiwe 19/20 kwani hawajendelezaNi ujinga sana,mbali na Transit Love sidhani kama nitakuwa fond na nyingine
Kuna hiyo moja inaitwa couple palace inakuja soon hiyo watu wapo 200+(Wanawake 100 na Wanaume 100) wanatafutiwa soulmates
Tusubiri miezi ya mbele mwaka huu ndio kwanza tumetoka kumaliza mwezi wa iliyoanza[emoji1787][emoji1787] tuna Kaz ya kuhama vijiwe 19/20 kwani hawajendeleza
Iliyoanza ipoTusubiri miezi ya mbele mwaka huu ndio kwanza tumetoka kumaliza mwezi wa iliyoanza
Kwanza umeangalia transit love episodes za ijumaa iliyopita.Iliyoanza ipo
Ile si ilikua 2022/2023
Nimeona na wakatugeia za pap... Bora, Ile ep 07 ilikua imepoa mnoKwanza umeangalia transit love episodes za ijumaa iliyopita.
Kwang Tae nadhani soon ex wake atawekwa wazi.
Relationship nyingine zote zina possibility flani ya kufufuka ila ya jamaa itabidi tuone story yake kwanza maana alivyosoma ex introduction mara ya pili kalia sana.
Anasema kwenye relationship yake hakuwahi kuambia neno "I love you" na ex girlfriend wake na hiyo ndio ilisababisha waachane maana alianza kuchoka aliona kwamba anaonekana kama hathaminiki kablsa na girlfriend wake na kuona labda maybe hilo neno kashamwambia mwanaume mwingine.
Kwa haraka ex wake anaweza kuwa yule Sang Jeong na kwa maoni tu ya panelists nikaweka dots sababu za kwa nini alikuwa katika hiyo situation.
Sababu za mwanaume kupitia hiyo situation ni kuzidiwa vitu vingi na mwanamke.
-Umri
-Ushawishi
-Mafanikio(yule Sang Jeong nadhani uliona intro yake licha ya kuwa na miaka 27 tayari yupo top alipata kila mafanikio akiwa na umri mdogo kwenye career yake ya Speed Skating.
Ila huenda now wameamua kutumix huenda ex wake akawa mwingine kabisa
But relationship ya jamaa kama ex wake anataka kujirudi basi wanahitaji mazungumzo mapana sana
Imebidi nipitie tena trailer kwa ajili ya spoiler nimeona bora nitulie nione itakuwaje maana vitu ni unpredictableNimeona na wakatugeia za pap... Bora, Ile ep 07 ilikua imepoa mno
Pale alivyomshika kichwa ndo iliniaminisha inawezekana seong jong x kwang Tae na namna alivyobehave wakat anafika..
Ep ijayo Hye won wangu anamlilia cocomelon vile aah
Seo kyung kahuni tu
Sijui kwanin walivyotaja umri kama wamenikata stim, wengine wanaonekana wakubwa(yu Jung) alaf pale wote ni noona love[emoji848] ah
Wana edit mno mara hivyo vipande huvioniImebidi nipitie tena trailer kwa ajili ya spoiler nimeona bora nitulie nione itakuwaje maana vitu ni unpredictable
Hye won nae now atakuwa mwendo wa kulia tu,yule anayelia kwenye ngazi katika trailer ni Hye Won kile kilio ni familiar nilisikia ile sauti siku alipojifungia chooni na kuanza kulia.
Hwihyun atulize wenge anaweza kumpoteza Hyewon kipuuzi mwanamke pekee anayempenda jamaa unconditionally,i think Hyewon ataanza kuwa interested na mtu mwingine hasa Dong Jin kama dogo asipobadilika.
Kwa mbali inaonekana kama Ex wa Kwang Tae ni Yu Jung but haiwezi kuwa sure kwa sababu hawa watu kwa kumix video ni hatari
Juwon na Seokyung wamekuja kwa ajili ya kurudiana ila anayoyafanya bidada wenge tupu anamuudhi sana Juwon,sema hao wana vibe kama la Hee Do na Nayeon wa season 2 yule bidada nae alikuwa wenge tupu.
Seokyung aache kuflirt kipuuzi na Hwihyun hasa wakati huu kashajua umri wake,anamfanya Hyewon awe insecure
Yu Jung alikuwa tayari kuanza relationship mpya akimfukuzia Juwon ila mbeleni feelings kwa ex wake zitalipuka zitatokea kusikojulikana,hapa tulipo now anajifanya kamove on ila naye atakuwa mtu wa kulia sana mbeleni machozi lita
Dong Jin nae ataanza kuwa na wivu kuwaona Dahye na Changjin pamoja
Ni mwendo wa zigzag hapa tuone itakuwaje
Kazi kwao ila naona kuna couple 2 kama sio 3 zinaweza kurudianaWana edit mno mara hivyo vipande huvioni
Dahye kajichekesha mwenyew
Lakin Dong Jin anachotaka kuachana tu na Da Hye 13yrs sio suala la kujifikiria kama unamtaka au humtaki, Da Hye aki fall yeye ataweza hata date Kwa uhuru uko nje.Kazi kwao ila naona kuna couple 2 kama sio 3 zinaweza kurudiana
Juzi kati nilikuwa namwambia mdau flani kule X kuwa Dong Jin anayetaka new person laiti kama angejua kwamba almost wanawake wote katika hii season 3 bado hawajamove on wana lingering feelings kwa maex wao tena si kitoto wala asingepoteza muda wake na badala yake aweke mambo sawa na ex wake wafikie muafaka kama warudishe majeshi ama kila mtu achukue hamsini zake.
Sasa kinachoweza kumkuta Dong Jin atakosa vyote
Huyo Yu Jung mwenyewe hakukata string alikuwa anajifikiria mara 2 nikashangaa why anaonekana kama hana stress yupo bize kumbe hazijalipuka bado
Jamaa ni muoga sana,kisa kashasacrifice vingi kwa mwanamke now anataka aishi kwa yeye kuwa priority.Lakin Dong Jin anachotaka kuachana tu na Da Hye 13yrs sio suala la kujifikiria kama unamtaka au humtaki, Da Hye aki fall yeye ataweza hata date Kwa uhuru uko nje.
Shida yake ana aibu mno, sijui ndo kuwa na Dem mmoja miaka yote. Sa muda wote anatizama chini
Hye won anaweza kumfaa vile nae Hana mambo mengi.
Yah anafurahisha hasa ile part waliyoenda shopping na aliposikia yeye ni first love wa Ha-neul reactions zakeTunaoifatilia doctor slump tujuane
Yule jamaa main lead wa strong girl bong soon ananipa raha sana
Jamaa anajua sana mapozi ya mahaba,nimecheka kinoma especially hii episode ya 4,
Ujue sijatizama ya Leotalnam Changjin ni ex wa Yu Jung,kama nilivyosema jana Yu Jung huko mbele nae ataanza kulia sana,story yao imenifanya nielewe kwa nini.
Sema naona waliachana kwa bad terms that's why hadi kwenye ile ex introduction aliandika maneno kwenye sentensi ya mwisho ambayo hadi Changjin akabaki analiuliza why kaandika hivyo.
Jamaa alikuwa ni perfect boyfriend adimu kupatikana anaweza fanya lolote lile kwa girlfriend ili kumpa furaha,alifanya kila kitu anachotaka Yu Jung.
Kwenye trailer la hii show kuna sauti ya Yu Jung ikisema alijaribu kupingana na hisia zake ila kashindwa zimetokea kusikojulikana moyo wake utakuwa shaken sana
Sasa huyu ambaye tuliyemuona hadi sasa alikuwa ni feki akipretend kumove on na kujifanya tough[emoji23][emoji23]
Na mwisho kabisa inasemekana kwa spoilers toka kwenye trailer ya kwanza kabisa hawa watarudianaView attachment 2898739
Yani zile reactions nilijikuta kila saa narudisha nyuma,na pale bibie alipomwambia anaenda blind date ile reaction yake🤣🤣🤣🤣🤣🤣Yah anafurahisha hasa ile part waliyoenda shopping na aliposikia yeye ni first love wa Ha-neul reactions zake
Una uhakika kuwa vipande vyake ni vya dk 17, au source yako ndio ilikuwa inavikata.?Mwenye link ya hii series imetoka Mwaka Jana 2023 "The Cursed Prince" vipande vyake ni vya dakika 17.