Al-Hadidy
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 1,411
- 3,077
Ni ujinga sana,mbali na Transit Love sidhani kama nitakuwa fond na nyingineNikipata kitonga nitaangalia ya Korea
Nikitazama i am solo kwenye divorced special walikua wanasifia sana love after divorce
Nilipopenda Hawa baada ya show kuisha wanapewa mwenz wa kukaa pamoja Tena aseee[emoji2][emoji2]
Huyo mmoja ana watoto watatu mkaka anae mmoja akaenda Kwa mdada kukaa huo mwenz,wale watoto ni Zaid ya akina junior [emoji1787][emoji1787]. Nasikia wameachana na ni couple ya mapema kutokea mjumban
Kuna hiyo moja inaitwa couple palace inakuja soon hiyo watu wapo 200+(Wanawake 100 na Wanaume 100) wanatafutiwa soulmates