Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Hii CAPTIVATING THE king imesukwa vizuri mno, ila kuna dalili za sad ending.

"20th century girl" ( huenda nimekosea jina) hii sio Kdrama ni K-trauma, kwa ilivyo na sad moments za kutosha.
 
Hii "Goryeo-Khitan war" ina matukio ya moto sana hasa kuanzia episode ya 26, hapo picha limejaa suprise za kutosha sijui huko mbele itakuwaje.

Ngoja nisuburi weekend ijayo.
 
Inaonekana suala la chumvi liliwatesa sana wakazi wa joseon. Drama nyingi zimeongelea ukosefu wa chumvi badala ya sukari
 
mara ya mwisho kutizama movie za kikorea sikumbuki ni lini majukumu haya natamani nipate muda wa kukaa na kutizama season tena
 
Baada ya miezi sita ya kutoangalia hizi filamu, ngoja nianze na hii.
 
Mm pia...naskia ni nzur lakin muda naipata IRIS...ilikua ishaangaliwa na wengi...so nikaachana nayo...Huntsman em tafuta GIANT....alaf utakuja kuniambia mwenyewe...
Hivi GIANT ile ya GANGMOO ni ya korea au ni wachina wale
 
Nipo kiosk hapa mitaa ya mwari hakogi, nimekaa na mzee ameinamia gazeti nusu saa nzima.

Nilidhani anasubiria huduma, kumbe uwepo wake ni kwa dhumuni la kusoma riwaya za magazetini.

Kakusanya magazeti kama matano, anapitia riwaya moja moja.

Uzuri upo umeme wa kutosha tofauti na darisalama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…