Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Hii CAPTIVATING THE king imesukwa vizuri mno, ila kuna dalili za sad ending.

"20th century girl" ( huenda nimekosea jina) hii sio Kdrama ni K-trauma, kwa ilivyo na sad moments za kutosha.
 
Hii "Goryeo-Khitan war" ina matukio ya moto sana hasa kuanzia episode ya 26, hapo picha limejaa suprise za kutosha sijui huko mbele itakuwaje.

Ngoja nisuburi weekend ijayo.
 
mara ya mwisho kutizama movie za kikorea sikumbuki ni lini majukumu haya natamani nipate muda wa kukaa na kutizama season tena
 
Mpaka sasa nimeishia episode 24( zingine bado hazijatoka)
View attachment 2907295
Hii Goryeo Khitan war Drama imenifurahisha.
Choi soo jong anazidi kuonesha kuwa yeye ni baba wa historical drama. Mzee wenu( Boo Deuk Bool) a.k.a waziri wa Buyeo anaziweza sana fitna.
Mwamba aliyecheza kama Yang Kyu ametisha sana. Kifupi humu ndani kila mmoja katisha sana. Lile limwamba Xiao Paiya( kamanda wa Khitan) linasura ya kikatili ila linaakili pia. Halafu huyu mfalme aliyepinduliwa mtoto wa Empress Chunchu anaonekana alikuwa kweli anashiriki mapenzi ya jinsia moja. Maana hata kwenye drama ya Empress Cheonchu pia amechorwa hivyo pia.
Nilichogundua watoto wasiku hizi ndio wanaharibu drama. Cheki chuma kama hii imefanywa watu wa kazi imesimama dede. Kifupi nimejihisi kama nipo 2015 kurudi nyuma maana dude limeiva.
Hahah Gang Gam Chan na Mkewe wanavituko sana.
Anyway nyie watu wa ongoing drama ndio mnatesekaga hivi?!
Baada ya miezi sita ya kutoangalia hizi filamu, ngoja nianze na hii.
 
Mm pia...naskia ni nzur lakin muda naipata IRIS...ilikua ishaangaliwa na wengi...so nikaachana nayo...Huntsman em tafuta GIANT....alaf utakuja kuniambia mwenyewe...
Hivi GIANT ile ya GANGMOO ni ya korea au ni wachina wale
 
Nipo kiosk hapa mitaa ya mwari hakogi, nimekaa na mzee ameinamia gazeti nusu saa nzima.

Nilidhani anasubiria huduma, kumbe uwepo wake ni kwa dhumuni la kusoma riwaya za magazetini.

Kakusanya magazeti kama matano, anapitia riwaya moja moja.

Uzuri upo umeme wa kutosha tofauti na darisalama
 
Back
Top Bottom