mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
Hatari hiiNiko na warrior baek dong so ep 3
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari hiiNiko na warrior baek dong so ep 3
Nipo episod 7Khitan kumbe asili sawa na Maghayo ya Kimongolia ndio maana wapo kama watu wasiostarabika .
Cc : Intelligent businessman
sasa wewe andika drama inayozungumzia tatizo la sukari,Inaonekana suala la chumvi liliwatesa sana wakazi wa joseon. Drama nyingi zimeongelea ukosefu wa chumvi badala ya sukari
sasa wewe andika drama inayozungumzia tatizo la sukari,
ngoma itakuwa droo.
kwani huko kwenu sukari shilingi ngapi?
kwetu 3200
======
hiyo nchi si uhame?
Baada ya miezi sita ya kutoangalia hizi filamu, ngoja nianze na hii.Mpaka sasa nimeishia episode 24( zingine bado hazijatoka)
View attachment 2907295
Hii Goryeo Khitan war Drama imenifurahisha.
Choi soo jong anazidi kuonesha kuwa yeye ni baba wa historical drama. Mzee wenu( Boo Deuk Bool) a.k.a waziri wa Buyeo anaziweza sana fitna.
Mwamba aliyecheza kama Yang Kyu ametisha sana. Kifupi humu ndani kila mmoja katisha sana. Lile limwamba Xiao Paiya( kamanda wa Khitan) linasura ya kikatili ila linaakili pia. Halafu huyu mfalme aliyepinduliwa mtoto wa Empress Chunchu anaonekana alikuwa kweli anashiriki mapenzi ya jinsia moja. Maana hata kwenye drama ya Empress Cheonchu pia amechorwa hivyo pia.
Nilichogundua watoto wasiku hizi ndio wanaharibu drama. Cheki chuma kama hii imefanywa watu wa kazi imesimama dede. Kifupi nimejihisi kama nipo 2015 kurudi nyuma maana dude limeiva.
Hahah Gang Gam Chan na Mkewe wanavituko sana.
Anyway nyie watu wa ongoing drama ndio mnatesekaga hivi?!
Muachie slaa na ndugu yake mbowe.kizimkazi mpo vizuri
Nikihama maandamano nitamuachia nani jamani
tokea kale tupo vizuri.kizimkazi mpo vizuri
wewe endelea kupumzika,mara ya mwisho kutizama movie za kikorea sikumbuki ni lini majukumu haya natamani nipate muda wa kukaa na kutizama season tena
Hivi GIANT ile ya GANGMOO ni ya korea au ni wachina waleMm pia...naskia ni nzur lakin muda naipata IRIS...ilikua ishaangaliwa na wengi...so nikaachana nayo...Huntsman em tafuta GIANT....alaf utakuja kuniambia mwenyewe...