uyo sponsor nahisi nae ana watu wengi[emoji23] [emoji23] [emoji23] miaka miwili mingi sana bhana ngoja niendelee kujiliwaza na sponsor tutaelewa siku atakayorudi
Sio wengi kama huku kwa oppauyo sponsor nahisi nae ana watu wengi
omo omo omo hapana wala hazina uhusiano nimejaribu tu kutoa mfano wa baadhi ya majukwaa mengine,kuhusu mdogo wangu ni mwanafunzi wa chuo laptop yake ameiharibu halafu ni msichana kwa hivyo nimeona kwa sasa bora nikose mimi ila yeye apate bahati mbaya anasoma huko kwenu.What? Sasa oppa mi sijaelewa...comments zilizokukwaza ndo zimekufanya umpe mdogo wako laptop au..? [emoji24] [emoji24] usitufanyie hivyo bwana tutaishije hapa bila wewe?
ndani ya thread hii nimeshawaona wapinzani wako wanne kwa ajili ya new sponsorSio wengi kama huku kwa oppa
Daah too bad ila sio mbaya kwa sababu umesema utakuwa unakuja kututembelea mara moja mojaomo omo omo hapana wala hazina uhusiano nimejaribu tu kutoa mfano wa baadhi ya majukwaa mengine,kuhusu mdogo wangu ni mwanafunzi wa chuo laptop yake ameiharibu halafu ni msichana kwa hivyo nimeona kwa sasa bora nikose mimi ila yeye apate bahati mbaya anasoma huko kwenu.
Sio mbaya huwezi kulinganisha na mitaa hiindani ya thread hii nimeshawaona wapinzani wako wanne kwa ajili ya new sponsor
daebak(bingo), uyo ndio sponsor ambaye kwa sasa kidogo anaweza kukuondolea majonzi kwa sababu atakuwa ni wako peke yako kwa Tanzania hii.nimejaribu kukuwekea link ya official fans thread ya choi jin hyuk.Au kama vipi nahamia hapa
View attachment 514706
[emoji23] [emoji23] sasa nione mtu anamvizia bebe wangu[emoji123] . Nimependa hapo namba 10 kwenye beautiful voice aisee akiongea na kile kibezi chake mi hoidaebak(bingo), uyo ndio sponsor ambaye kwa sasa kidogo anaweza kukuondolea majonzi kwa sababu atakuwa ni wako peke yako kwa Tanzania hii.nimejaribu kukuwekea link ya official fans thread ya choi jin hyuk.
Choi Jin Hyuk 최진혁
pia kwa kuwa ni sponsor wako mpya naamini utakuwa ushamfahamu zaidi undani wake ila nimeona nikuongezee tu
- His real name is Kim Tae Ho.
He didn't change it to Choi Jin Hyuk until 2010, after he already appeared in several dramas.
- He's really tall. All 186 glorious centimeters of him.
- He had his first major breakthroughs in 2013 as love-torn characters in both Gu Family Book and Heirs.
- He just got his first leading role in Emergency Couple drama
- He has a beautiful voice and has sung 4 K-drama OSTs so far. Enough to Die" from It's okay daddys,girls drama Inverted Love" from Panda and Hedgehog drama "Best Wishes to You" from Gu Family Book drama Don't Look Back" from Heirs drama
Mkwe kumbe na wewe mdauNipataje Iris 2 & 3?
hahahahaaaa mara hii nitakuwa wakili wako kwa yeyote yule atakayejaribu kukuibia sponsor wako na naamini utashinda kesi.[emoji23] [emoji23] sasa nione mtu anamvizia bebe wangu[emoji123] . Nimependa hapo namba 10 kwenye beautiful voice aisee akiongea na kile kibezi chake mi hoi
Omo omo can't wait to watch that drama maana nimeshachoka kuirudia rudia hii Emergency Couple [emoji85] [emoji85]hahahahaaaa mara hii nitakuwa wakili wako kwa yeyote yule atakayejaribu kukuibia sponsor wako na naamini utashinda kesi.
MBC’s warm human drama Hospital Ship courts Choi Jin-hyuk
It hasn’t even been a week since Tunnel drama ended, but Choi Jin-hyuk is already planning his return to drama land. He’s currently considering an offer to star in MBC’s new medical drama Hospital Ship opposite Ha Ji-won (The Time I’ve Loved You), due out later this summer.
Hospital Ship is a warm human drama about a ship that sails around the little islands to give medical care to the locals who live in rural villages. It’ll focus on the growth of the young doctors aboard the ship, and tell relatable stories that reflect today’s society. Directing is PD Park Jae-bum of daily drama Begin Again and legal drama A New Leaf, and writing is Yoon Seon-joo of Secret Door and Hwang Jin-yi.
Ha Ji-won has been offered the role of a surgeon who joins the hospital ship to get away from public scrutiny after her family is ruined. Choi Jin-hyuk is up to play Kwak Hyun, a doctor of internal medicine who has “warm hands, warm eyes, and above all, a warm heart.” Aw, he seems perfect for the part. The character is further described as caring but not soft, and strong but not offending. He has exceptional empathic abilities, and seems to always read how someone is feeling before they tell him.
I keep telling myself that more Choi Jin-hyuk can’t possibly be a bad thing; it’s just that I’m so engrossed in his latest drama Tunnel that I don’t want to imagine him playing another character. I just want to think of him as a gruff ’80s detective teddy bear forever and ever. That’s probably not the way he wants his career to go though, so he should probably take the drama,
especially since the character sounds so lovely and warm. Surely by August I’ll have gotten over Tunnel and be antsy for him to star in a new drama!
Hospital Ship is slated to air in MBC’s Wednesday-Thursday slot in August, following Ruler–Master of the Mask and Man Who Dies to Live.
Nipataje Iris 2 & 3?
Mbona sijibiwiii...
Ji chang_wook wa k2.Iljimae jinalake la kweli nani na k2 jina lake halisi man! wako vizuri kuigiza movie zao, hakuna jini anayevuka barabara akiangalia magari kulia na kushoto[emoji23]
Ahsanteeee......... Sasa hivi napakuaMkuu ukidownload application inayoitwa dramania utapata movie yoyote uitakayo humo. Hata iris nadhan ipo
Mkuu ukidownload application inayoitwa dramania utapata movie yoyote uitakayo humo. Hata iris nadhan ipo