Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Missing Crown Prince

Drama nyingine kali sana tulishamaliza episode 2 za mwanzo na vita kali katika Mfalme & Crown Prince Vs Queen Dowager [emoji91]

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 
Missing Crown Prince

Drama nyingine kali sana tulishamaliza episode 2 za mwanzo na vita kali katika Mfalme & Crown Prince Vs Queen Dowager [emoji91]

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
Hiyo ni ya kikorea au 😯 prince and queen dowager mama kaanglie muv flan hivi inaitwa SAD and LOVE….My heart string afu niambie
 
talnam tumefunga ukurasa leo tumebahatika kusave couple 2 tu Changjin & Yujung na Minhyung & Sangjeong

Wengine no confusion Jongeun alimchangua Juwon akapigwa chini,Kwangtae akamchagua Seokyung akapigwa chini,Seokyung akajirudi kwa Juwon akapigwa chini,Juwon akaenda kwa Yujung akawa rejected na Yujung akampa another chance Changjin,wanadate hadi sasa.

Nilikuwa na imani tangu mwanzo na hii endgame[emoji7]
 
Asante kwa spoiler
Na dongjin na dahye ilikuaje
 
Thank you
 
nimenusa harufu ya Time Travelling humu ndani, kuna watu wamerudi mpaka mwaka 2011.
Mwaka ambao Numbisa alikuwa bado hajaolewa, si vibaya kutukumbushia yaliokwishapita.

Babu yetu alisema: maisha ya mwanadamu ni hadithi
 
Han Kyul hujaniambia endgame ya dongjin na hyewon kisa u team dahye

Imebid nikasome more spoilers
Ngoja nitazame sasaa
 
Han Kyul hujaniambia endgame ya dongjin na hyewon kisa u team dahye

Imebid nikasome more spoilers
Ngoja nitazame sasaa
Nilikata nao tamaa that's why sikuwa na interest tena mimi sikuwa shipper wa Dongjin-Hyewon

Kikubwa favourite ship imesail Yujung katoa kinyongo moyonj akampa chance Changjin
 
  1. Queen Of Tears - 2024
  2. Nothing uncovered - 2024
  3. Blood Free - 2024
  4. Love ft Marriage and Divorce
  5. Taxi Driver 2
  6. the red sleeve
  7. my introverted boss
  8. parasyte the grey
  9. Missing Crown Prince
  10. Beauty and Mr romantic
Storage ipo Hot
 
  1. Queen Of Tears - 2024
  2. Nothing uncovered - 2024
  3. Blood Free - 2024
  4. Love ft Marriage and Divorce
  5. Taxi Driver 2
  6. the red sleeve
  7. my introverted boss
  8. parasyte the grey
  9. Missing Crown Prince
  10. Beauty and Mr romantic
Storage ipo Hot
Kwa watu wenye kujua vitu vikali bila kujali trend hapo drama top ni nothing uncovered story imesukwa na imesukika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…