mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
H
Hayo ndo maendeleo Mkuu
Nadhan angalau kwenye korea khitan war ile scene ili make sense kwakua walikua wanatafuta mrithi
Ila queen woo na nudity nyingi alfu wanarudia rudia, sema ina ka story katam
Kwa sababu ya audienceNiliona maudhui ya Ushoga kwenye Goryeo khitan war I think mwanzoni.. nimeona pia mapenzi ya jinsia Moja kwenye hii Queen woo mwanzoni.. maudhui ya namna hii hayakuwepo kwenye series za kikorea kipindi Cha nyuma... Hii Inamaana Gani??
Chief kim (Good Manager) drama:kuna siku mlikuwa mkijadili series ya kikorea kuna scenes wanaongea kiswahili (nadhani ni ishu TRA), naombeni jina la series hiyo,,,,,,,,,,,,,,
Kama ulifanikiwa kuitazama Empress Chounchou inaelezea nyakati hizo hizo za vita ya Koryeo na Khitan. Although muhusika mkuu humu alikuwa Chounchou na mpenzi wake Kim .. pamoja na Gang Jo.Niliona maudhui ya Ushoga kwenye Goryeo khitan war I think mwanzoni.. nimeona pia mapenzi ya jinsia Moja kwenye hii Queen woo mwanzoni.. maudhui ya namna hii hayakuwepo kwenye series za kikorea kipindi Cha nyuma... Hii Inamaana Gani??
Je watawala wazamani wa Korea walishiriki mapenzi ya jinsia Moja au linatafutwa soko la filamu huko ulaya?Kama ulifanikiwa kuitazama Empress Chounchou inaelezea nyakati hizo hizo za vita ya Koryeo na Khitan. Although muhusika mkuu humu alikuwa Chounchou na mpenzi wake Kim .. pamoja na Gang Jo.
Huyo mfalme alishiriki mapenzi ya jinsi moja. Ikumbukwe hii drama ni ya kati ya 2009- 2012( sikumbuki vizuri mwaka iliyotoka ) perhaps kwenye history jambo hilo lilitokea.
Iliyonikera ni Under Queen's Umbrella. Niliitazama almost 5 nikaachana nayo.
Ila nakupa recommendation ya kuifuatilia hiyo Empress Chouchou hutojuta.
Vipi Kali ? maana nimedowload mpaka episode ya 4 bado sijapata mzuka wa kuicheki.Queen seondeok
Hiyo Goryeo Khitan War nilitaka nianze kucheki maan inasifiwa humu kumbe Kuna mambo ya kipunga ! basi nimeghairi kabisa kutafuta.Niliona maudhui ya Ushoga kwenye Goryeo khitan war I think mwanzoni.. nimeona pia mapenzi ya jinsia Moja kwenye hii Queen woo mwanzoni.. maudhui ya namna hii hayakuwepo kwenye series za kikorea kipindi Cha nyuma... Hii Inamaana Gani??
Nimwanzoni tuu ila mbele tamu ila hii ya queen woo labda ni mimi tuu ila kiukweli nimeghairi kuitazama imekuwa kama Picha ya XHiyo Goryeo Khitan War nilitaka nianze kucheki maan inasifiwa humu kumbe Kuna mambo ya kipunga ! basi nimeghairi kabisa kutafuta.
Ni kweli but ni kali mno inabidi tu uvumilieNimwanzoni tuu ila mbele tamu ila hii ya queen woo labda ni mimi tuu ila kiukweli nimeghairi kuitazama imekuwa kama Picha ya X
Hivi good partner ni nzuri?kwa upande wa legal dramas nafikiri kituo cha SBS wapo katika dunia ya peke yao. Wamekuwa na muendelezo bora sana wa uzalishaji wa dramas zenye maudhui hayo ndani yake.
Najikongoja nayo Good Partner drama,
- Good partner
- one dollar lawyer
- Innocent defendant
- judge vs judge
- While you were sleeping
- Hyena
- Why Her
- Remember
- Your Honor
- Whisper
- N.K
uvivu na uchovu mwingi, majukumu ya watu nayo yanakula muda.
hakukosea yule aliyesema ukitaka kula sharti nawe uliwe.
Jang Nara amegoma kuzeeka hata akiwa kwenye muonekano wa makeup
Wivu wa kijinga
View attachment 3092651
Haikufai kwa mujibu wa taste zakoHivi good partner ni nzuri?
Je hiyo one dollar lawyer ina nifaa?maana list uliyoweka hapo imeshiba kuna nyingi nimeziona na ni kaliHaikufai kwa mujibu wa taste zako
Umeangalia Su Ji & U Ri?Kwa kipindi hiki nimezama kwenye family dramas as usual,episodes 120
Umeangalia Su Ji & U Ri?