ilionyeshwa na kituo cha TvNApa umesahau Lawless Lawyer
Kijana nipe drama nzuri yoyote ya aina yanguSeoul busters drama:
kwa aliefurahia tamthilia ya One dollar lawyer si vibaya ikiwa atajaribu ladha hii.
si kila wakati tunatakiwa kuwa serious mpaka kwenye televisheni, tunahitaji ucheshi na ujinga ujinga ili maisha halisia yapate nguvu ya kusonga mbele hususani tunapopatwa na changamoto.
BloodhoundsKijana nipe drama nzuri yoyote ya aina yangu
Nimeshaiona au nipe yenye genre ya Romance isiwe ya kitoto sijui walikuwa wapenzi utotoni wakapoteana wakaja kukutana ukubwani hizo sizitaki au main characters wana ucomedi wa kujitoa akili hizo hapana nataka zile zenye matukio kiasi ambacho ikiisha episode moja unatamani kutazama inayofuata unakuta story imeshiba mfano mzuri ni kama fate&furious,Mask,dangerous wife,VIP, Secret love,The empress ki n.k isiwe ya fantansyBloodhounds
Song of the BanditsNimeshaiona au nipe yenye genre ya Romance isiwe ya kitoto sijui walikuwa wapenzi utotoni wakapoteana wakaja kukutana ukubwani hizo sizitaki au main characters wana ucomedi wa kujitoa akili hizo hapana nataka zile zenye matukio kiasi ambacho ikiisha episode moja unatamani kutazama inayofuata unakuta story imeshiba mfano mzuri ni kama fate&furious,Mask,dangerous wife,VIP, Secret love,The empress ki n.k isiwe ya fantansy
Asante mkuuSong of the Bandits
Mjomba masharti kibao kama witch doctor 😃Nimeshaiona au nipe yenye genre ya Romance isiwe ya kitoto sijui walikuwa wapenzi utotoni wakapoteana wakaja kukutana ukubwani hizo sizitaki au main characters wana ucomedi wa kujitoa akili hizo hapana nataka zile zenye matukio kiasi ambacho ikiisha episode moja unatamani kutazama inayofuata unakuta story imeshiba mfano mzuri ni kama fate&furious,Mask,dangerous wife,VIP, Secret love,The empress ki n.k isiwe ya fantansy
Nina rahisisha kazi ya nini ninatakaMjomba masharti kibao kama witch doctor 😃
Angalia kati ya hiziNina rahisisha kazi ya nini ninataka
Stranger 1 &2, flower of evil, beyond evil na voice zote nimeziona kwa kweli ni kali mno ngoja nizifuatilie hizo mbili duel na Recalled zinaonekana nazo zitakuwa kali, nilikuwa nawaza nitaangalia drama ipi baada ya stranger season 2 ndio ninaimaliza leo maana nyingi nimeziona Shukrani sana umenipa zakuanziaAngalia kati ya hizi
Duel
Stranger - Hii utulize akili
Flower of Evil
Recalled
Beyond Evil
Voice
Hyo mizigo yote mikali. Kama uliikubali innocent defendant basi na hyo lazma uikubali.
Kama unapenda family drama umeicheki once again?Queen for Seven Days S01 (Complete) | Korean Drama
Queen Love and War S01 (Complete) | Korean Drama
Mr . Queen S01 (Complete) | Korean Drama
Shine or Go Crazy (Complete) | Korean Drama
Rookie Historian (Complete) | Korean Drama
Gu Family Book (Complete) | Korean Drama
Just typing
Nipo na suji and u ri family drama
Alafu hii drama ni kama wameikatisha vileQueen Woo drama:
erotic scenes za kijinga jinga almanusura ziniadhirishe, nilikoma tabia ya kuunganisha bluetooth device na laptop.
Kama unapenda family drama umeicheki once again?
Drama nzuri mno
Mimi nimemfatilia yule dada dokta alieolewa na doktaFamily dramas nazipenda mno hio ni nzuri nimeshaiona niliinjoi mpaka nikafatilia lead actor kwenye realities show alizoshiriki,jamaa ana vituko sana.