Ze_Papirii
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 558
- 1,117
Song Jae Rim amefariki taarifa zimetoka muda huu
Wakuu naomba recommended series za Korea Kusini zinazofanana kimaudhui kama series ya MOON LOVERS(Scarlet Heart-Ryeo). π
Wakuu, website gani naweza pata series ya Jumong ? Nimetafuta bila mafanikio
Mkuu. Hii imenishinda, kila ninapofungua download links nakuwa directed kwa site za betting. Nimejaribu mara kadhaa nimeshindwa
Haya tumia hii DOWNLOAD Jumong (Complete) | Korean DramaMkuu. Hii imenishinda, kila ninapofungua download links nakuwa directed kwa site za betting. Nimejaribu mara kadhaa nimeshindwa
Shukrani mkuu, ingawaje pia ilitaka kuleta mambo mengi na matangazo mengi but nishaijulia. Nishabeba episode zangu 20. Ntabeba zote after timeCha
Haya tumia hii DOWNLOAD Jumong (Complete) | Korean Drama
Unamegewa?Maisha yangu ya sasa kwa 75% yanawakilishwa na "MY MISTER" drama, hopefully kila kitu kitakuwa sawa.
Maisha yangu ya sasa kwa 75% yanawakilishwa na "MY MISTER" drama, hopefully kila kitu kitakuwa sawa.
πͺπΎMaisha yangu ya sasa kwa 75% yanawakilishwa na "MY MISTER" drama, hopefully kila kitu kitakuwa sawa.
It's about issue za kikazi.Unamegewa?
Pamoja sana.Pole
Anhaa.. usiwaze mzee yataishaIt's about issue za kikazi.
Pamoja mkuu.Shukrani mkuu, ingawaje pia ilitaka kuleta mambo mengi na matangazo mengi but nishaijulia. Nishabeba episode zangu 20. Ntabeba zote after timeView attachment 3152219
Wakuu naombeni mnisaidie link ya kudownload alchemy of souls Kwa atakaye kua nayo