Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Vipi kwa upande wa mb unaridhisha? au ina mb kubwa?
 
Sijui hizo app

Shukrani
 
Mimi natumia HiTv kwa korean varietyshow
Aah na ni user friendlyyy kwa bundles
 
Hii hau download?
Unamaanisha App?
Unadownload
Na hata episode unadownload
Kuna ile vip uwe na acces ya kushusha nyingi ndo haipo kwa sasa
Ila moja moja inashuka simu tu iwe na space
 
Unamaanisha App?
Unadownload
Na hata episode unadownload
Kuna ile vip uwe na acces ya kushusha nyingi ndo haipo kwa sasa
Ila moja moja inashuka simu tu iwe na space
Mi nilifungua tu website.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…