Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Bado upo hapa ?, drama cool Ina server nyingi.Najua mdogo wangu, sasa hivi hizo websites zimefungiwa ndio maana nalia lia hapa.
Website yangu pendwa kupakulia series ilikuwa Dramacool na huwa nachukua 1080, sasa hivi siwezi tena inazingua ndio maana nachukulia Telegram ambako ndio hivyo tena.
Hii series naitafutaga sana siipati kudownloadVya kale dhahabu, naangalia Emperor Wang Guhn nimeipenda sana.
Zamani ndio Wakorea walikuwa katika ubora wao kwenye historical, sasa hivi hakuna kitu.
Sorry mkuu, naomba link kama hutojaliDAEMUSHIN alishatuwekea kwenye Channel Telegram ndiko nilikoitoa.
Ipo post no ngap, nikipata link niichote mazimaDAEMUSHIN alishatuwekea kwenye Channel Telegram ndiko nilikoitoa.
Ipo post no ngap, nikipata link niichote mazima
Natumia app ya on stream 1080p kama kawaidaNajua mdogo wangu, sasa hivi hizo websites zimefungiwa ndio maana nalia lia hapa.
Website yangu pendwa kupakulia series ilikuwa Dramacool na huwa nachukua 1080, sasa hivi siwezi tena inazingua ndio maana nachukulia Telegram ambako ndio hivyo tena.
Mkuu mbona inanisumbua kudownload
Pitia hapo utaweza kustreamika
Mi sitaki App Mkuu, nataka nizichukue kwenye flash.Natumia app ya on stream 1080p kama kawaida
Kudownload inasumbua ndio maana nikapendekeza kuangalia moja kwa moja.Mkuu mbona inanisumbua kudownload
Ndio naona kumbe zipo 200? Nitaishia hizohizo 20, ukiweka tena nitaendelea maana siioni kokote sijui uliitoa wapi!Lakini haijakamilika, nafikiri zilikuwa episode 20
Kipengele mkuu, mi nimezoea naishusha nikipata muda naicheki ado ado, nisaidie link ya telegram mkuu(hilo dude lipo post no ngapiKudownload inasumbua ndio maana nikapendekeza kuangalia moja kwa moja.
Ndio naona kumbe zipo 200? Nitaishia hizohizo 20, ukiweka tena nitaendelea maana siioni kokote sijui uliitoa wapi!
================Kipengele mkuu, mi nimezoea naishusha nikipata muda naicheki ado ado, nisaidie link ya telegram mkuu(hilo dude lipo post no ngapi
Kama hiviNajua mdogo wangu, sasa hivi hizo websites zimefungiwa ndio maana nalia lia hapa.
Website yangu pendwa kupakulia series ilikuwa Dramacool na huwa nachukua 1080, sasa hivi siwezi tena inazingua ndio maana nachukulia Telegram ambako ndio hivyo tena.
Unadownload ukitakaMi sitaki App Mkuu, nataka nizichukue kwenye flash.
Hata hivyo asante.