Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Nilikua namkubali sana huyu actress anyway Korea tumewazoea
 
kumbe nyinyi bado mna angalia series kwa miaka?, kaitazame as long as huja wahi Iona basi ni mpya.

Hiyo kaigiza mzee wa vagabond

beside naangalia list ya series za 2014,2015,2016 vyuma ni vingi vizuri.

Kitu naweza kuangalia/kusikiliza cha zamani labda ni mziki
Movies hata ya 2023 siwezi kuangalia

Lakini asante

Ngoja niendelee na ongoing ya group study huku nikimalizia check in hanyang
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…