Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

angalia buried hearts rn ni ongoing ila n nzuri sana kwa series latest ambazo nmepata kutazama pamoja na WHEN THE PHONE RINGS
 
Nime ona wame Pinga na baadhi Wana tetea kuwa binti hakuwa na miaka 15!, ngoja tuone ita kuwaje.

Kwa hesabu za haraka kesi ya kudate a minor ni tayari tumempoteza, bahati mbaya zaidi upande wa KSH wanajikanyaga huku upande wa pili wana ushahidi wa nguvu

Uliona picha ya KSH akiwa nusu mtupu nyumbani kwa marehemu akiwa anaosha vyombo? 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…