Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Nani kaanza kuangalia way back love? Intelligent businessman
Nimeangalia zimetoka episodes 2, ni ongoing...mie nisiyependa kelele na kutumia akili kwenye drama hii inanifaa,nasubiri kesho episode ya 3 nione kama narndelea nayo ama naitema

Leo usiku naanza nyingine ongoing inaitwa Heesu in class 2
 
Nafikiri hii ni BL, nilipakua episode 1 nikaingalia then niliposoma content ya stori inahusiana na mapenzi ya wanaume.
Asante sana mkuu kwa taarifa,ni kweli nimeigoogle hapa nimeona ina mapenzi ya jinsia moja!!!

Nilikuwa nimeshadownload episodes 4 zilizotoka...hebu niifute
 
Wakuu Kuna chimbo Kali lingine la kudownload series ? maana toka dramacool ipigwe chini sina site ya kueleweka
 
Hii Hyper knife sio poaa
Yan huyu FL sikutegemea kama atazid kuwa na makali nlijua attorney woo aliotea tu
What a comeback….
Muje tu spoil maana
Comment section ya dramanice ndo hazipogi tena
 
Nani kaanza kuangalia way back love? Intelligent businessman
Nimeangalia zimetoka episodes 2, ni ongoing...mie nisiyependa kelele na kutumia akili kwenye drama hii inanifaa,nasubiri kesho episode ya 3 nione kama narndelea nayo ama naitema

Leo usiku naanza nyingine ongoing inaitwa Heesu in class 2
hii sija angalia, halafu drama zako Zina chekesha Eti hupendi kelele na kutumia akili🤣😂
 
Back
Top Bottom