Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Chuma kina toka Mwaka huu, Numbisa, Selikavu, Joanah Nifah
FB_IMG_17460152851606748.jpg
 
tumia viki, asian tv, kiss asian au drama cool bado ipo mzee.
Acha chai mkuu dramacool kama ipo ni kopi ya mchongo sio kama ya Zamani , link yako nishawi kuharibu ni ya kiduwanzi adds kibao yaani unadownload kwa mbinde mno na baadhi ya vigongo ukisearch havipo.
 
Acha chai mkuu dramacool kama ipo ni kopi ya mchongo sio kama ya Zamani , link yako nishawi kuharibu ni ya kiduwanzi adds kibao yaani unadownload kwa mbinde mno na baadhi ya vigongo ukisearch havipo.
Mimi nimesha badilisha link, na ndio hata leo nime rudia kucheki you're all surrounded.

halafu kwanini nidanganye ini saidie kipi?, au ita ongeza kipi?.

have some respect before making accusations, sijajua why wabongo tuko faster sana kwenye hilo.
 
I mean no Malice to anybody.

My post has no any malicious intent , I was just for funny and I wanted you to panic so that you can show me a site.
 
Series: BLACK OUT

Hii ni series ya kikorea ambayo Kuna jamaa anajikuta anahukumiwa kifungo cha miaka 10 kwa kusingiziwa kuwa amefanya mauaji wa watu wawili bahati mbaya huyo jamaa Hana kumbukumbu yoyote ya tukio zima la uuaji lilikuaje? na lilifanywa na Nani? na kwasababu zipi? kiasi ambacho imefanya kushindwa kujitetea na kesi yake. Baada ya kutoka jela anatafuta ukweli mzima ukoje ili dhana ya kuonekana ni muuji iyondoke hapa ndipo balaa linapoanzia
 
Back
Top Bottom