Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Comrade hiyo imeshatoka episodes ngapi?

Mambo yasipokuwa mengi kuanzia leo hadi wiki inayoanza nataka niangalie hizi
The haunted palace
Crushology 101
Weak hero class 2
comrade uli kuwa wapi?, nili dhani ume susa.

hiyo bado hadi tarehe 15, Anza na weak hero class 2.

sema dah we mwanamke hizo season zote 🤣😂
 
Nilikuwepo comrade,sikuona tag yako

Nimeanza na the haunted palace
Weak hero kesho mapema naianza na kuimaliza
domo zege langu lili niponza, haya kila mtu aangalie series kivyake😁.

Jana nili kuwa narudia squid game 2 ana Alice in border land hii ni 🔥 🔥
 
Domo zege tena? 😂
Squid game sijawahi kuiangalia....nimeisikia baada ya yule actor kufa
ehh si nili shindwa kuongea, ila it's good sometimes kuki kosa kitu halafu uka ona kina furaha😁😊.

iangalie ni nzuri mno, hata Alice in borderland ni Kali mno.

Actor aliye kufa ni yule mwana mama lee Joo sil
 
Unakuwaje single pisi zilivyojaa comrade
With my life style it's quite hard to meet my match, cause. My ain't that tender.

sinywi pombe, no clubbing, sio mzinzi pia coz I find it disgusting kuwa na huyu na yule.

Mwisho mimi huwa naona uhalisia, na hisia Zina taka uwe kipofu.
(Nita kuhadithia 😂 😂).
 
Back
Top Bottom