Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
huyu wa pili ali kuja na marafiki zake ambao wana kaa karibu na kwangu, so huwa Kuna ki bustani Cha mchongo watu hupenda kupigia story hapo.Nimejaa tele Comrade,nipo episode ya 7 hapa
Endelea na yako sasa 😂
Saw her and said hi, then baadae aka ondoka kwani ali kuwa ana safiri.
Baadae Nika omba namba kwa sister alio kuwa nao, ika bidi aulizwe Kama nipewe namba au lah!.
so alipo pigiwa ali jua wana ongea wawili tu, kumbe nili kuwa hapo pia.
Swali lake la kwanza, ana maokoto 😃😂.
namba Nika pewa, within 3 days of talking kaanza kuni tangazia shida eti nimpe mkopo.
Kumbe yupo na wale ma sister, and after inquiring about me ndio aka jiombesha mkopo.
I wanted to give her that money through a friend of hers(who is also my close associate), ila aka Anza kuni lalamikia so nika I Said no.
Baadae ndio naambiwa na yule close associate kwamba yule ndio alivyo, ana asili ya wagogo 😃.
Next time namuona kavaa vikuku, mara visuruali Kama vya watoto.
Nika mpotezea mazima, now ni mwana tu.
sad story she lied to me eti Hana watoto, kumbe she got 3 kudadadeki 😂 😂