Hii wiki nzima nimeikumbuka sana drama ya A Man Called God, moja kati ya drama nizipendazo sana of course ni sababu ya Oppa Ill Guk Sung.
Mwanahabari Sin Bo Bae anapowaingiza vitani mwamba Choi Kang Ta aka Peter Pan na Mwanausalama, vigogo nao huko wamenyanyasika sana baada ya dhulma walioifanyia familia ya Choi.
Uhusiano wa Sin Bo Bae na babu yake mshona viatu unaoyeyusha mioyo, Harakati za mwanadada Vivian juu ya penzi la Michael (Choi Kang Ta)…
Muhenga mimi nimekumbuka drama zilipokuwa na taste ya Kikorea sio huu utopolo wa Netflix.