Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Icheki journey to love 🔥, Ina episode 39 tu.
Hizo bado naona nyingi kwangu, walau episode zikiwa 24 naweza cheki.

Series za kichina nilizotazama.

Legend of Qin(hii naweza irudia wakati wowote, niliipenda)
Legend of ancient sword(ilinikera mwishoni)
Arrows on the bowstring(hii unyama kabisa)
Destinied to love you(hii burudani)
Cruel romance(nilitazama kwa kudokoadokoa)
Double killers

Nyingi nimesahau ila huenda nitaanza kuzitazama tena maana huku korea naona kama series zimekuwa za mchongo.
 
Hizo zote nime angalia kudadadeki 😁😂. Hizi ni favorite zangu.

Arrow - baba kamongo, officer ankhai.
Cruel romance - zhong Zhen
Legend of qin - kule pangoni
 
Asilimia 5 ni series, 70 msosi 😆😂
Wanakupika sasa kaka
Gq2qdTFXYAAvN4m.jpeg
 
Back
Top Bottom