Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Naanza who rules the world ya kichina, ep 40+Poa mkuu.
Naanza who rules the world ya kichina, ep 40+Poa mkuu.
Hizo we komaa nazo tu.Naanza who rules the world ya kichina, ep 40+
BaridiHizo we komaa nazo tu.
Ni wapi naweza kudownload yenye subtitles za kingereza bila ya kulipia Wala kutumia movieboxNaanza who rules the world ya kichina, ep 40+
Dear hong rang mbona kama Kali ijapokuwa sijamaliza Bado ndo kwanza Niko Cha kwanzaAchana na dear hong rang, Anza joy of life season 1 kaka.
Aaah wee, hiyo ya porini au TownMy country ya jang hyuk kali mno, anza nayo.
Jesoen gun man kitambo sana na ni series yangu pendwa.Wale wapenda za porini aangalie qeen for a seven days, na josoen gun man ni 🔥
Shida huku taka kufata maelekezo yangu, nili kuambia Anza na my country wewe ume kimbilia again my life 😂🤣.Mkuu Intelligent businessman hii My life again nimeshawahi kuiona, tunaangalia series nyingi mpaka zingine tunazisahau majina 😂
Dakika 6 za episode 1 zimetosha kunifanya niikumbuke, ngoja niende na My Country tu.
Bora nilivyoanza nayo na kujua tayari nimeiona maana wakati mwingine huwa napakua series huku nikkwa naangalia nyingine.Shida huku taka kufata maelekezo yangu, nili kuambia Anza na my country wewe ume kimbilia again my life 😂🤣.
Haya kazana na my country kali kinyamaBora nilivyoanza nayo na kujua tayari nimeiona maana wakati mwingine huwa napakua series huku nikkwa naangalia nyingine.
Ningechoma bando bure 😂
Pamoja.Haya kazana na my country kali kinyama
Hahahahaha!! hiyo nadhani pure love story, Mimi sipendi drama main theme iwe mambo ya mapenzi na romance , mara episodes 10 nzima kutongozana kwangu never .
Hahahahaha!! Destined ndio machina pekee niliyemuona na kumkubali ila Chinese naona kama vikatuni tu.Hizo bado naona nyingi kwangu, walau episode zikiwa 24 naweza cheki.
Series za kichina nilizotazama.
Legend of Qin(hii naweza irudia wakati wowote, niliipenda)
Legend of ancient sword(ilinikera mwishoni)
Arrows on the bowstring(hii unyama kabisa)
Destinied to love you(hii burudani)
Cruel romance(nilitazama kwa kudokoadokoa)
Double killers
Nyingi nimesahau ila huenda nitaanza kuzitazama tena maana huku korea naona kama series zimekuwa za mchongo.
Vitu vyangu hivyo , Joseon Gun Man hatari na nusuWale wapenda za porini aangalie qeen for a seven days, na josoen gun man ni 🔥
Acha wehu hicho chuma ni 🔥 🔥 🔥, kaigiza lee Jae wook wa alchemy souls.Hahahahaha!! hiyo nadhani pure love story, Mimi sipendi drama main theme iwe mambo ya mapenzi na romance , mara episodes 10 nzima kutongozana kwangu never .
Ikiwa Main theme ni mapenzi iwe na mixed flavours mfano Descendants of the Sun ila ni kama love story ndani yake wamechanganya mambo ya kijeshi , kupambana na Ugaidi na politics kidogo...
Vitu vyangu ni historical, Umafia na Ujasusi haswa wakiwa ndani ya mashuka.
Wachina jau tu.Hahahahaha!! Destined ndio machina pekee niliyemuona na kumkubali ila Chinese naona kama vikatuni tu.
Naam 📌Vitu vyangu ni historical, Umafia na Ujasusi haswa wakiwa ndani ya mashuka.