Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Alchemy si ziko 2 season, au hujaona ya pili?.

Dear horang we angalia, masuala ya sad ending usi Tishwe 🤣
Season 2 imetoka lini?

Comrade binafsi nikishajua movie/drama ina
1. Mapenzi ya jinsia moja
2. Sad ending
3. Sio ya mwaka husika

Siangaliii wala sianzi kuanza kuangalia 😟

Naongezea
Movies/drama za kivita/ wanapigana sana
Za kutumia sana akili
 
Season 2 imetoka lini?

Comrade binafsi nikishajua movie/drama ina
1. Mapenzi ya jinsia moja
2. Sad ending
3. Sio ya mwaka husika

Siangaliii wala sianzi kuanza kuangalia 😟

Naongezea
Movies/drama za kivita/ wanapigana sana
Za kutumia sana akili
Mbona kitambo aisee, ninazo hapa.

hongrang ya Mwaka huu, sad ending wana jisemea tu.
 
Hivi wakuu napataje subtitle halisi ya gyemseong creature maana nashindwa kuangalia subtitle inaruka haiendani na wanavyoongea kila nikijaribu website zingine mambo yale Yale.
 
Back
Top Bottom