Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Comrade hivi sijakwambiaga siangalii horror movies/dramas? 🤦‍♀️
Sweet Home ninazo kwenye PC season ya kwanza na ya pili sijui lakini sijioni nikiziangalia
Hiki chuma kinatoka week ijayo stay tuned
file_00000000d75861f6aa00331a38273566.png
 
Mercy For None: dude limeachiwa leo likiongozwa na mkongwe SO JI SUB

View: https://www.youtube.com/watch?v=ZG5oMij_26s

Happy Birthday to K A R A F U U
 
Nani anaangalia our unwritten seoul?
Wanaume wataniua mie nishafall kwa ML 😭
 
Moyo wangu mwepesi kweli 😂
Hata wanaume wa kawaida nafall 🙂

Comrade ana shida gani kwani?
Sasa mbona hatari, kwahiyo unamaanisha unabeba ndoo na kidumu 😂

Comrade wako akiona hiyo comment ya namna vile moyo wako ni mwepesi atapata sonona na huenda tukampoteza 😂
 
Back
Top Bottom