Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 6,039
- 12,571
Hii series inawatu aisee.Numbisa, Nifah, Mac Alpho, Ka uli ipenda veil, undercover, basi hii ni nzuri pia.
We kenge ka ni mapazia na mashuka basi Selikavu, na Razorblade wata kuletea ya mitumba.
Comrade Joanah, jaribu hii.
View attachment 3366109