Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

comrade Joanah actor kim soo hyun kapoteza zaidi ya followers 900k, pamoja na mikataba ya deal zaidi ya 10.
Mwanangu Song Joon Ki naye kisa kumuacha mkewe Song hai Kiu Wakorea nao walimfungia vioo movies na series zake viewers zikashuka vibaya na wakawa wanampa comments mbaya mitamdaoni.
 
Mwanangu Song Joon Ki naye kisa kumuacha mkewe Song hai Kiu Wakorea nao walimfungia vioo movies na series zake viewers zikashuka vibaya na wakawa wanampa comments mbaya mitamdaoni.
ndo walivyo ao wakorea 🙌🏾,
 
Dah huu mzigo nimeusubiri kwa muda mrefu sana
 

Attachments

  • 1743669448432.jpg
    336.4 KB · Views: 40
Kwa 2025 mpaka Sasa Buried Hearts ni Bora zaidi. Kama ipo nyingine Ongoing recommend wakuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…