Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!


nilichelewa kuifahamu hii tovuti /application
 
Huwa siipendi, coz subtitles nyingine za movie au series haziko sawa na yanayo zungumzwa
 
Japo nime chelewa ila 1+ bro, mercy for none nili ona release date.

Nime penda Kuna Jamaa mjapani kawekwa.
 
Dear Hongrang naenda nayo kama meli inayokwenda PEMBA kupitia mkondo wa NUNGWI.

sijui hata kinachotafutwa humu ndani.

Huyu bwana mdogo ni kama kakosa mdundo fulani hivi wa kunogesha hizi filamu za kuvaa mapazia
Mwenyewe napambana nayo yaan haieleweki mpaka nasinzia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…