Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Youcine ni streaming site, ana taka pa ku downloadOnstream and Youcine Tv
Siwezi leta maana hizo awafim ndo site zangu, muhimu niangalie series.
OnStream pekee ndo atapata quality anayotakaYoucine ni streaming site, ana taka pa ku download
Zipo nyingi kiss asian, kiss asian kh, asian tvOnStream pekee ndo atapata quality anayotaka
Yaani niharibu gb 10-16 pale awafim ππ€£Siwezi leta maana hizo awafim ndo site zangu, muhimu niangalie series.
Uzuri ni kwamba site nazotumia hazili bando ila Ads tu ndo huwa zinanikera.Yaani niharibu gb 10-16 pale awafim ππ€£
Unacheza sana na SD? Hii imekaa vipi? Yani ndo inakuaje? Hebu elezea kwa upana kidogo.Uzuri ni kwamba site nazotumia hazili bando ila Ads tu ndo huwa zinanikera.
Kuhusu quality nacheza sana na SD.
Nimemaanisha mara nyingi napakua movie/series za Standard Definition na siyo za High Definition.Unacheza sana na SD? Hii imekaa vipi? Yani ndo inakuaje? Hebu elezea kwa upana kidogo.
EEh! Kumbe SD stands for "Standard Definition" nilikua sijuagi asee me nilikua naonaga tu napakuaππNimemaanisha mara nyingi napakua movie/series za Standard Definition na siyo za High Definition.
Kaka Kuna sehemu uki leta movie au series ya namna hiyo, lazima uchapwe bakora chapππ€£Uzuri ni kwamba site nazotumia hazili bando ila Ads tu ndo huwa zinanikera.
Kuhusu quality nacheza sana na SD.
Muhimu sura zionekane na subtitle zisomeke mengine kwangu naona mbwembwe tu.EEh! Kumbe SD stands for "Standard Definition" nilikua sijuagi asee me nilikua naonaga tu napakuaππ
Muhimu naburudika mwenyewe mkuu πKaka Kuna sehemu uki leta movie au series ya namna hiyo, lazima uchapwe bakora chapππ€£
Sawa Mr watatuMuhimu naburudika mwenyewe mkuu π
Nita kuchapa comradeThe way Ho Su looks at Mi Ji wakiwa wanaongea screams LOVEEE π
Nita kuchapa comrade
Every guy is cool, until they see me.For real comrade
The guy looks sooo in love
Every guy is cool, until they see me.
Comrade I'm nuts when it comes to loveππAu sio ππ
HahahahahComrade I'm nuts when it comes to loveππ