Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Hahaha uhakika kaka😂😂Mlinzi hiyo unakesha nayo😂
🤣🤣 Lala mkuuHabari za asubuhi wajumbe
Kulala ni kipaji pekee nisicho nacho 😂🤣🤣🤣 Lala mkuu
Nadhani nina phobia ya drama za kichina, yani najikuta tu sina mzuka nazo.
Dah sorry comrade nakumbuka uli nikataza, ila ndio hivyo drama ni 🔥 🔥Nimeigoogle ni wachina
Icheki hii mkuu Haina mambo mengiNadhani nina phobia ya drama za kichina, yani najikuta tu sina mzuka nazo.
Dah sorry comrade nakumbuka uli nikataza, ila ndio hivyo drama ni 🔥 🔥
Naanza nayo leoAsante
tuko pamoja kaka, kashuhudie panga kali uje ulete mrejesho.Naanza nayo leo
Ndio nimeinza sasa hivi kesho natoa mrejesho hapatuko pamoja kaka, kashuhudie panga kali uje ulete mrejesho.
Baridi kaka, ita pendeza SanaNdio nimeinza sasa hivi kesho natoa mrejesho hapa
tuna subiri mrejesho kakaNdio nimeinza sasa hivi kesho natoa mrejesho hapa
Kwahiyo mkaona mnizunguke wanangu😃😃😃Sikiliza hii ya kibongo usiku huu ila usimwambie Selikavu achana na wachina
View: https://youtu.be/7cgJEmA9UK4?feature=shared
Hiki chuma ni kikali yaani kuanza tu! Amsha amsha zake sio za kitoto. Asante kwa kunipa recommendation ya kigongo hiki kama una vingine vya aina hii usisite kunipa. Hivi ndio vitu vyangu.tuna subiri mrejesho kaka
Pamoja kaka nili waambia watu kuwa china wako vizuri, Tumalizie hiki kwanza.Hiki chuma ni kikali yaani kuanza tu! Amsha amsha zake sio za kitoto. Asante kwa kunipa recommendation ya kigongo hiki kama una vingine vya aina hii usisite kunipa. Hivi ndio vitu vyangu.