Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Nikiwa mkubwa nataka niwe kama wewe kaka nimpate Comrade wa kumpenda na mimi


Zingatia ni Comrade na sio Mshangazi 😃😃😃
wewe ropoka tu, ila Joanah aki geuka cheok sa gwang ujue njia ya kukimbilia kabisa 😂 😂
FB_IMG_17510244894742630.jpg
 
Nasema hivi the side story of fox violant ni kali kuliko six flying dragons.

panga ya humu 🔥 🔥 🔥, na yenyewe ni ya porini.
Comrade Joanah,

Mac Alpho, Selikavu, Nifah, adriz, Razorblade, Edo kissy, dosho12, GITWA vitu vyetu hivi.
Ngoja niitafute yaani mtu akiniambia na series yenye stori na moto mkali ka.a Six flying dragon au kuzidi basi nichukulia hiyo series ni Kali vibaya maana Six flying dragon ilinifanya kwa mara ya kwanza nilale saa 7 usiku kisa series . Ikiisha Moja unatamani uendelee ni series chache zenye vibe Kali kama Hilo amabalo halipoi mwanzo mwisho bandua bandika
 
Back
Top Bottom