adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 17,595
- 39,893
Korea ile Lugha yao tu Ina Vibe Fulani ukisikia wanavyotamka kwa hisiia mpka raha.Wachina hapana.
Korea ile Lugha yao tu Ina Vibe Fulani ukisikia wanavyotamka kwa hisiia mpka raha.Wachina hapana.
Hahahahaha!! I find this amusingPrezidaa kadi yetu ya kataa ndoa unaludisha lini😃😃View attachment 3385629
Ubaya ubwela🤣🤣
Nyau de adriz le nyambulet enuchiiHahahahaha!! I find this amusing
Kicheki ni 🔥🔥🔥, Kuna jamaa ana piga huyo.Ngoja niitafute yaani mtu akiniambia na series yenye stori na moto mkali ka.a Six flying dragon au kuzidi basi nichukulia hiyo series ni Kali vibaya maana Six flying dragon ilinifanya kwa mara ya kwanza nilale saa 7 usiku kisa series . Ikiisha Moja unatamani uendelee ni series chache zenye vibe Kali kama Hilo amabalo halipoi mwanzo mwisho bandua bandika
Dah usi niambie ume Lia 😂🤣Nipo naangalia sasa hv ep 04 imenuima sana namba 222 kufa
Wakorea wapo kwenye damu aisee.Korea ile Lugha yao tu Ina Vibe Fulani ukisikia wanavyotamka kwa hisiia mpka raha.
Kenge majiKorea ile Lugha yao tu Ina Vibe Fulani ukisikia wanavyotamka kwa hisiia mpka raha.
Mi napiga zoteWakorea wapo kwenye damu aisee.
Nipo naangalia sasa hv ep 04 imenuima sana namba 222 kufa
Unyama tu.Mi napiga zote
Huyu alikuwa mjeshi halafu akaamua kuleft group 😂
sema kapambana Sana, dah kafa kibwegeHuyu alikuwa mjeshi halafu akaamua kuleft group 😂
Mchawi bundle
Hii ndo imeuma kuliko vyote😃
Hapana hakuleft group alizaliwa ni Transgender 😃😃😃Huyu alikuwa mjeshi halafu akaamua kuleft group 😂
Boya huyo huko alienda kutafuta hela akamalizie surgery 😂Hapana hakuleft group alizaliwa ni Transgender 😃😃😃
Sasa ni Transgender angefanyaje 😃😃Boya huyo huko alienda kutafuta hela akamalizie surgery 😂
Big Balls njoo usaidie hapa chapWatu wa darisalama
Maeneo ya TEGETA kuna hoteli gani au lodge za bei nafuuu.
Itapendeza ikiwa karibu na ofisi za TRA.
Si mbaya ukinitajia majina yake
Selikavu
Razorblade
Intelligent businessman
Edo kissy